Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa;
1. Uharibifu wa Mazingira
2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu
Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba.
Kwanini January...
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,
Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais...
PUTIN NI SHAHIDI, MTUME NA NABII WA ZAMA ZETU. NAMUUNGA MKONO.
Na, Robert Heriel
Shahidi.
Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda, tutabaki kuwa Wafuasi watiifu wa falsafa za Ki-putin.
Putin ni mtakatifu, Shahidi na shujaa ambaye anaitumia nafasi na Cheo chake vizuri kutekeleza utume...
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na...
Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake.
Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki.
Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…"
Na...
.
Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie.
Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club.
"Nimepokea vifaa vya Huduma ya Afya kwa Zahanati ya Vigwaza ikiwemo vitanda vya Wagonjwa, vitanda kwa ajili...
Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa.
Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi.
Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo:
Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36.
Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari wa Uganda amedai wafanyakazi wa afya wapo sahihi kutoka huduma maeneo yaliyoathirika kwa madai...
Maria Marwa aliyekatwa mapanga
***
Maria Marwa (36) mkazi wa Kijiji cha Isango, wilayani Rorya mkoani Mara, amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa baada ya kujeruhiwa kwa mapanga na kukatwa mkono wa kushoto na titi la kushoto na mume wake kwa madai ya kukosekana kwa namba ya simu iliyopigwa...
Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema
Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na...
Toka Jana jioni Viongozi wa dunia wameanza kwenda kumpa pole Mfalme Charles III, pichani akiwa na Justin Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada.
Poleni waanglikana wote duniani
Sindi Mzamo, Rais wa circle of global business women (CGBW), amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu ni Champion wa Utalii Afrika aungwe mkono.
Aliyasema hayo jijini Johannesburg Afrika kusini wakati akihutubia Mkutano wa Wanawake katika Utalii Kusini mwa Afrika (WITSA). Alisema Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.