Habarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina changamoto moja.
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto...