Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato.

Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
20211125_060247.png
 
Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
 
Kama umejitosheleza si uwe mkoa kwanini mmege vya wenzenu?
 
Chato inaweza kuwa mkoa watu milioni 2 yenyewe bila kumega vya wenzake?
Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
 
Basi tugawane Taifa , Kila mkoa au Kabila liwe Taifa huru. Chato liwe Taifa la Chato. Geita Taifa la Geita, Lindi Taifa la Lindi, Mtwara Taifa la Mtwara, Buhaya iwe Taifa la Kagera etc etc. Maana kila mmoja anavutia kwake, tusidanganyane kwenye hili. Muache mikoa iliyopo inatosha vinginevyo yataibuka mengine
 
Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa! Geita kama mkoa yenyewe bado kufikia hiyo milioni mbili. Geita kama mkoa ina idadi ya watu 1,739,530 kulingana na sensa ya mwaka 2012. Ushabiki mwingine muwe mnasoma basi kuuficha ujinga.
 
Hao watu milioni mbili unawatoa wapi. Population figure kwa Chato ni watu 365,127. Au unazungumzia mkoa wa Geita jombaa!
Ni jumla ya wakazi wa mkoa mpya wa Chato kutoka wilaya za Chato, Biharamulo, Bukombe. wilaya tarajiwa ya Busanda, Ngara na kata za Kimwani,Ikuza na Nyakabango za wilaya ya Muleba pamoja na sehemu ya wilaya ya Kakonko iliyopo mkoa wa Kigoma.
 
Hata akigoma kumegwa haina impact kuanzisha mkoa mpya wa Chato maana kwake wilaya ya Muleba wanamega kata tatu tu ambazo ni Ikuza, Kimwani na Nyakabango pekee.
Huu mkoa wa chato umekaa kikabila sana
 
Huu mkoa wa chato umekaa kikabila sana
Haujakaa kikabila kabisa ni mkoa ambao utakukuwa na makabila mengi mchanganyiko yaani wasukukuma, wajita, wakerewe, wasubi, wahangaza, waha, wahaya, wasumbwa, wazinza, walongo na makabila mengine madogo madogo.
 
Atake asitake Chato itakuwa mkoa soon. Huwezi kuacha eneo la watu karibia milioni mbili kuwa mkoa, ni muhimu huduma za kijamii ziwe karibu. Kuna mikoa ina idadi ya watu chini ya milioni moja kama Katavi, Njombe na Lindi lakini mkoa mpya wa Chato utakuwa na idadi ya watu milioni mbili.
Hao watu milioni 2 wapo Chato au unajumlisha na watu wa Muleba na kokote kwingine kutakakomegwa ?
 
Back
Top Bottom