Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,208
22,257
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja wameamua kulipigania na kuliwakilisha taifa lao vyema. Hili suala lilinitafakarisha sana hasa kuhusu sanaa ya hapa Tanzania.

Watanzania wengi waliochangia maoni kwenye post zilizohusu show ya hiyo miamba walikuwa wakiwatupia lawama kali Diamond na Alikiba. Mimi niliona wako sawa kwasababu Diamond na Kiba ni kama nembo za muziki wetu wangeweza kuhamasisha mambo yakabadilika. Ila binafsi sikupenda kujikita sana kuwalaumu hao wawili kwasababu wamefanya mambo mengi makubwa kwenye sanaa ya Tanzania. Wakati nikitafakari ndo nikakumbuka hawa wasanii kutoka Arusha. Nilipatwa na hasira kali sana kuhusiana na mienendo yao.

Wasanii wa Arusha ni wenye vipaji vikubwa pia wana exposure kubwa kutokana na kukulia kwenye kitovu cha utalii. Miongoni mwa wasanii wa mwanzo kupiga show za kimataifa walikuwa kundi la X-plastaz kutoka Arusha. R.I.P father Nelly. Hata wakongwe Chindoman na wengine ni watu wanaoijua vizuri mitaa ya mabeberu. Tatizo lililopo kwa wasanii wengi wa Arusha ni hii tabia mbaya ya kujitenga. Wao kila sehemu wanataka wawe wao tu bila kujichanganya na watu toka mikoa mingine. Hii ni tabia mbaya ya ubaguzi ambayo baba wa taifa aliichukia sana. Hayati Mwalimu Nyerere angekuwa hai angewakemea wasanii wote wanaodai wao ni wa Arachuga.

Huu upuuzi umefanya muziki wa Arusha kuwa duni sana na kuishia kuwa wasanii wa hapahapa. Na hii tabia imeota mizizi hadi kwa watu wengine ambao sio wasanii. Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Nassari alishawahi kupanda jukwaani na kuropoka kuwa kuwepo jamhuri ya watu wa kaskazini. Mkimaliza kujibagua kwamba mmetoka Arusha mtaanza kubaguana kwamba huyu katoka Kijenge yule Kaloleni au Majengo. Watu wa Arusha tujichanganye na kusimama na watanzania wengine kama taifa moja la Tanzania.
 
I've cried!
emoji22.png
emoji22.png
emoji22.png
emoji22.png
emoji31.png
emoji31.png
emoji31.png
nailed it brother!
 
Kuna mtu ameanzisha thread humu kuhusu ubaguzi wa wasanii wengi kutoka Arusha, kujitenga na kupambana kutangaza kanda na si kutangaza taifa letu. Hali inayopelekea kudumaa kimuziki na kutotoboa sana kimataifa. Huu ni ujinga, na hii ni sumu.

Nimethibitisha ni kweli madai haya kwa kurejea mifano ya watu wa kanda hiyo niliowahi kukutana nao, wengi(zaidi ya 95%) walikuwa na ukanda na ni wabaguzi SANA.

Badilikeni. Jukumu la kujenga TZ yenye mshikamano ni letu sote! Kujitenga tenga na kuleta ukanda si ujanja, ni ujinga na ni kujimaliza mwenyewe pamoja na taifa lako.
 
Ni wapumbavu watu wa kaskazini wana ubaguzi kabisa wanajiona wanajua mabangi tu

Baadhi ya media wanapendelea kwao kutokan watangazaji ni wa huko ni binafsi simkubali msanii wala presenter yeyote anayetokea kaskazini zaidi ya milladayo tu

Kuanzia wasanii hata makundi yao siwafagilii hawana cha maana kujikuta katika wanajua tu
 
Kuna mtu ameanzisha thread humu kuhusu ubaguzi wa wasanii wengi kutoka Arusha, kujitenga na kupambana kutangaza kanda na si kutangaza taifa letu. Hali inayopelekea kudumaa kimuziki na kutotoboa sana kimataifa. Huu ni ujinga, na hii ni sumu.

Nimethibitisha ni kweli madai haya kwa kurejea mifano ya watu wa kanda hiyo niliowahi kukutana nao, wengi(zaidi ya 95%) walikuwa na ukanda na ni wabaguzi SANA.

Badilikeni. Jukumu la kujenga TZ yenye mshikamano ni letu sote! Kujitenga tenga na kuleta ukanda si ujanja, ni ujinga na ni kujimaliza mwenyewe pamoja na taifa lako.
Washamba wakishavaa mamitumba yale wanajikuta wanajua wabaguzi huko maofisini sana
 
Kuna mtu ameanzisha thread humu kuhusu ubaguzi wa wasanii wengi kutoka Arusha, kujitenga na kupambana kutangaza kanda na si kutangaza taifa letu. Hali inayopelekea kudumaa kimuziki na kutotoboa sana kimataifa. Huu ni ujinga, na hii ni sumu.

Nimethibitisha ni kweli madai haya kwa kurejea mifano ya watu wa kanda hiyo niliowahi kukutana nao, wengi(zaidi ya 95%) walikuwa na ukanda na ni wabaguzi SANA.

Badilikeni. Jukumu la kujenga TZ yenye mshikamano ni letu sote! Kujitenga tenga na kuleta ukanda si ujanja, ni ujinga na ni kujimaliza mwenyewe pamoja na taifa lako.
Wameimarisha baada ya Awamu ya 4 na ya 5 hasa ya 5 kuwatenga. Tuache sindano ituingie taratibu tupone ugonjwa wa ukabila na ukanda tuliojitakia wenyewe. Wakaskazini hatuwawezi hata tutambike. Wenzetu wameshatuacha mbali
 
Ni wapumbavu watu wa kaskazini wana ubaguzi mambwa kabisa wanajiona wanajua mabangi tu na ufala

Baadhi ya media wanapendelea kwao kutokan watangazaji ni wa huko ni binafsi simkubali msanii wala presenter yeyote anayetokea kaskazini zaidi ya milladayo tu

Kuanzia wasanii hata makundi yao siwafagilii hawana cha maana kujikuta katika wanajua tu
Umetema sumu, ila si wasanii wote wapo hivyo, kikubwa tunajaribu kuliponya taifa letu na ufa huu wa sumu.
 
Ni wapumbavu watu wa kaskazini wana ubaguzi mambwa kabisa wanajiona wanajua mabangi tu na ufala

Baadhi ya media wanapendelea kwao kutokan watangazaji ni wa huko ni binafsi simkubali msanii wala presenter yeyote anayetokea kaskazini zaidi ya milladayo tu

Kuanzia wasanii hata makundi yao siwafagilii hawana cha maana kujikuta katika wanajua tu
Kwanini watangazaji ni wa Huko...Hata hivyo Mkaskazini hawezi kuwa na chuki kama yako ( Kulingana na ulivyojipambanua )
Inferiority Complex ( Hisia za Unyonge zitakuua Kijana )
 
Back
Top Bottom