Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na wanaona kama ayawahusu sasa sijui shida ni kuwaza kipindi cha uchaguzi kukosa kura ama kulaaaaa ebu wenyeviti badilikeni nyinyi ndio wawakilishi wa serikali ngazi ya mitaa.sio kazi za barua na muhuri
 
Hutaki hajilipe posho za kufanya kazi nje ya ofisi.

Ngoja watafune pesa za kuondoa machinga barabarani
 
IGP Siro na Ma - RPC wameonyesha kufeli katika kusimamia sheria. Bila kuwa na law enforcement suala la wamachinga halitakoma. Pamoja na Mh. Rais Mama Samia kusema waondolewe kiungwana,sheria pia inaweza ikafanywa kiungwana kumaliza tatizo.
 
Machinga huwezi kumpangia sehemu ya kukaa na ukafanikiwa.
Picha linaanza mwenyekiti mwenyewe ni machinga.
 
hawa Machinga Makonda ndio aliwaweza, funga mtaa kwa askari wa Jiji akishirikiana na FFU, washa mabomu ya machozi hawatarudi.
Mama anawapa kichwa ndio maana wanachezea sharubu wakitamba wanazo kura mkononi
Hii itawapeleka pabaya ndio maana Waziri wa Afya Mama Gwajima kasema huko Mbey Kiongozi asiyechanja aachie ngazi bora akunje uso hivyo hivyo
NCHI BILA UDIKTETA HAIENDI
 
IGP Siro na Ma - RPC wameonyesha kufeli katika kusimamia sheria. Bila kuwa na law enforcement suala la wamachinga halitakoma. Pamoja na Mh. Rais Mama Samia kusema waondolewe kiungwana,sheria pia inaweza ikafanywa kiungwana kumaliza tatizo.
Ingekuwa mikutano ya kile chama...,
 
Machinga hawajawahi kuondoka maeneo yao kwa hiari!

Ni propaganda za serikali kupitia mainstream media tu.

Kama serikali haiwapeleki na wateja kwenye maeneo inayowatengea hao machinga then wanapoteza muda tu.

2006 JK aliwaondoa machinga mijini halafu ilikuwaje wakarudi?
 
Back
Top Bottom