mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Joining Instructions ya Form Five Sekondari ya Masonya, Ruvuma

    Ndugu zangu mwenye join instructions za kujiunga kidato cha tano shule ya sekondari MASONYA iliyopo RUVUMA anisaidie tafadhali. Nimetazama kwenye website ya wizara hakuna info yoyote. with much thanks in advance
  2. JamiiForums Tanzania Wenye nongwa na madukuduku mmekaribishwa na mkuu wa mkoa, Dar es Salaam kujadili mkataba wa Bandari

    Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe. Nashukuru mama Samia kwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deogratius Ndejembi aagiza kufanyika tathmini ya ukarabati ya nyumba za waalimu Ruvuma na kuchukua hatua

    NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ATOA MAAGIZO KWA KATIBU TAWALA WA MKOA NA WAKURUGENZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Deogratius Ndejembi amemwagiza Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha anafanya Msawazo ndani ya Mkoa wake kwa maeneo ambayo yanaupungufu wa watumishi na kuwaelekeza wakurugenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani unasubiria nini kufungua minada ya soko la ufuta?

    Kinasubiriwa nini kufungua minada ya soko la ufuta? Au hadi akina Kangomba wamalize kuukusanya Kwa wakulima? Wakulima wataendelea kudhulumiwa Kwa bei za unyonyaji hadi lini?
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Ahoji Utekelezaji wa Mradi wa REA III Mkoa wa Mara

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
  9. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  10. JamiiForums Tanzania Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  11. JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hii nikiwa natokea Mkoa wa Mara naikataa na nakata Rufaa

    Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo..... 1. Arusha 2. Manyara 3. Iringa 4. Morogoro 5. Ruvuma 6. Mara Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange? Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
  13. JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

    Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida. Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

    Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama. Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana. Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea. Wizi. Magonjwa. KERO. Nktafadhalini
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitongoji wa CCM ni sawa na Mkutano wa Mkoa wa CHADEMA

    Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kursk, Urusi waendelea kupokea mabomu ya Ukraine, yaani Urusi ndani ndani

    Warusi hawana amani tena ndani ya Urusi.... A construction worker was killed near the Russian village of Plekhovo, a few kilometres from the border with Ukraine after shelling from the Ukrainian side, Roman Starovoit, governor of the Kursk region said on Telegram. Works were being carried out...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango. Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua vitu vya msingi na gharama kufungua radio ya kidini inayoshika wilaya au mkoa tu

    Rejea kichwa cha habati hapo juu. Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania. Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…