mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  2. nyboma

    Mkoa wa Kagera umechoka sana

    Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi. Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini. Usije ukawekeza, kuna...
  3. brave one

    Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
  4. JF Member

    Mkoa gani wanalima Mtama na Uwele kwa wingi?

    Naomba kujua wapi wanalima Mtama, Uwele na ulezi kwa wingi?
  5. sanalii

    Asilimia 100 ya wrong number ninazopokea ni kutoka Mkoa wa Mara, kwanini?

    Wiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?
  6. Kibenje KK

    Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

    Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
  7. Poker

    Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

    Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi...
  8. Kalpana

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  9. MSAGA SUMU

    Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

    Niko Singida hapa, huu mkoa umebarikiwa kila nyanja, mkoa una kila kitu huu. Hali ya hewa nzuri balaa. Mzunguko mkubwa wa hela labda kuliko Arusha na Mwanza, hata Dar anataka kupitwa. Idadi kubwa ya watu. Ni Kama kila barabara huku ina lami. Kila nyumba huku ni ya kisasa. Umeme na maji mpaka...
  10. M

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ihamishiwe Posta, pale ilipo ni pa ovyo

    Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo. Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa? Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
  11. Jay One

    Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

    Habari wana JF.. Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake. Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa...
  12. Mystery

    Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  13. BARD AI

    Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  14. Mtemi mpambalioto

    Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  15. NetMaster

    Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  16. Tomaa Mireni

    SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  17. Kariobangi

    Hiki ni nini TRA mkoa wa Tabora?

    Ukipita pale jengo la ofisi za TRA mkoa wa Tabora,lililokuwa jengo la zamani la iliyokuwa benki ya Nyumba,THB utakutana na uzio wa mabati kuzunguka jengo kiashiria Cha ukarabati, kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Je, wahusika ndio kusema ukarabati haujahisha kwa muda wote huo kuondoa uzio wa...
  18. BARD AI

    Mkoa wa Mara washika nafasi ya 5 kwa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika

    Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika. Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
  19. chiembe

    Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
Back
Top Bottom