Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
 
Oya upo lindi sehemu gani mitwero msinjahili sabasaba wailes rutamba
 
Poleni sana wakazi wa Lindi. ndege JOHN tupe updates hali ikoje. Barabara inapitika kuelekea Mtwara?
 
Oya upo lindi sehemu gani mitwero msinjahili sabasaba wailes rutamba

Nimeishi Lindi kwa miaka 5, nimetoka huko mwaka 2024 Feb

Nilikua naishi Wailes, karibu na Zima Moto, Kula sana watoto wa Lindi, bar za maana Linid ni Mitefuni,Pari na GRM, Hapo ndiyo kuna mademu wakutosha.... Mitwero na kule kwa Mama Salma ndiyo sehemu ya kidon

Pale Stand ya Mkoa ni pachafu hatari, kuna Grocery zipo pale ndani ndani,watu wanakunywa beer na vyoo vya pale stand vinatoa harufu kali....

Raha zipo Masasi na Mtwara... Lakini sio Lindi, Nachingwea wala Liwale
 
Hii ndio experience yako ya kuishi lindi?

If yes
Utakuwa mmoja wa watu wajinga sana
Nimeishi Lindi kwa miaka 5, nimetoka huko mwaka 2024 Feb

Nilikua naishi Wailes, karibu na Zima Moto, Kula sana watoto wa Lindi, bar za maana Linid ni Mitefuni,Pari na GRM, Hapo ndiyo kuna mademu wakutosha.... Mitwero na kule kwa Mama Salma ndiyo sehemu ya kidon

Pale Stand ya Mkoa ni pachafu hatari, kuna Grocery zipo pale ndani ndani,watu wanakunywa beer na vyoo vya pale stand vinatoa harufu kali....

Raha zipo Masasi na Mtwara... Lakini sio Lindi, Nachingwea wala Liwale
 
Mwaka huu mpaka tuseme na bado hatujasema.Maana Mungu ameamua sio kufungulia koki bali kung'oa koki zake zote za mabomba.😁
 
Back
Top Bottom