Uchimbaji Visima Tanzania: Bei kwa Kila Mkoa

Joined
Aug 7, 2018
Posts
37
Reaction score
31

Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 800,000
 
Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hiv

Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hivi imekaaje kwa uzoefu wako?
Watakuwa walipeleka mashine ambayo yenye uwezo mdogo
 
Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hiv

Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hivi imekaaje kwa uzoefu wako?
Watakuwa walipeleka mashine ambayo yenye uwezo m
 
Sababu ya gharama ya uchimbaji na survey kuwa juu au chini inatokana na nini mkuu?
 
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 800,000
Ungeweka kwenye Table ingekuwa nzuri zaidi. Easy to grasp and compare.
 
SUrvey inaweza kujua kama nitapata maji ya chumvi au yasiyo na chumvi?
 
Mnachimba mpaka mita ngapi kabla ya kuamua hapa maji hakuna?
 
Nina mpango nichimbe kisima kwahiyo nina vitu vingi vyakukuuliza kwasababu nishasikia wilaya ya newala huwezi kupata maji
Taarifa kuhusu ugumu wa kupata maji Newala ulipata kutokana na uzoefu wa watu waliojaribu na kushindwa au kutokana na surveys. Inawezekana maji yapo lakini ni ya chumvi maana ni karibu na coast?
 
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 800,000
Mkuu Maongezi hakuna?
 
Taarifa kuhusu ugumu wa kupata maji Newala ulipata kutokana na uzoefu wa watu waliojaribu na kushindwa au kutokana na surveys. Inawezekana maji yapo lakini ni ya chumvi maana ni karibu na coast?
Nikisikia watu ambao sijui taarifa hiyo waliipata wapi ila mwaka jana ndio nilishuhudia hio kampuni imechimba mpaka wakachemka hawakupata hata tone
 
Kutokana na uzoefu wenu maji yaweza kupatikana umbali gani kwa mkoa wa Morogoro? Ili nijpange
 
Singida watu tunachimba locally na ukienda mita 5 tu unakutana na maji.

Hiyo 100k na 500k hazina uhalisia kwa kanda ya kati maana ni zone ambayo water table ipo karibu zaidi kushinda zones zote hapa Tanzania.
 
Ahsante kwa taarifa...
Gharama za survey ni kubwa kuliko uchimbaji wenyewe, kuna kitu hakipo sawa...

Cc: Mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom