mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aua mkewe kwa kumtusi ni bwege kitandani

    MWANAUME alishtakiwa jana kwa kumuua mkewe alipomtusi kwamba hajiwezi chumbani. Stephen Nyangeri Mauti,mwenye umri wa miaka 25 alikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe Faith Nyatich. Wapenzi hao walioana Agosti mwaka huu. Baada ya miezi miwili tayari ndoa yao ilikuwa imegauka kuwa chungu ndipo...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

    Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado. Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

    Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa zao la mpunga katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani humo, Mayombi Mwela akiwa chumbani akichepuka na mke wake. Katika video inayosambaa...
  5. Gwajima

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Amkata mkewe mkono kwa wivu wa mapenzi

    Shinyanga. Mkazi wa Bushushu mjini Shinyanga, Debora Rwekwama (34) amekatwa mkono wa kushoto na mumewe, Jacob Mwajenga (35) ikidaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi. Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, George Kyando amesema tukio hilo limetokea Septemba 9, 2021 mtaa wa Bushushu manispaa ya...
  7. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22). Mtuhumiwa huyo, inaelezwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kumkata kwa panga marehemu...
  8. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Msaada. Homa ya Ini B. Mume anawezaje kumkinga mkewe?

    Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  10. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua mkewe kwa kunyimwa unyumba, akamatwa

    WEDNESDAY AUGUST 18 2021 Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba. Marehemu Fausta alikuwa na...
  11. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahii mkewe kukaa mkao wa kimapenzi sebuleni mbele ya shemeji yake

    Ni sahii mkeo kukaa nawe mkao wa kimapenzi mkiwa sebuleni mbele ya shemeji yake. Haina madhara yoyote kimaadili?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wakili aeleza walivyosota gerezani na mkewe miezi 18, waamua kudai fidia

    THURSDAY JUNE 17, 2021 Dar es Salaam. Wakili Peter Madeleka na mkewe, Jamila Augustine Ilomo wameishitaki Serikali wakidai fidia ya mali kwa kukaa gerezani kama mahabusu kwa zaidi ya miezi 18 na baadaye kuachiwa buru baada ya makubaliano na DPP. Katika kesi Na. 10 ya mwaka 2021 aliyoifungua...
  15. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Prince Harry na Mkewe: Ni Kazi Kazi

    👇👇👇
  16. mediaman

    JamiiForums Tanzania Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

    Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama. Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua Mkewe wa kwanza, Amuua Mke pili Tena na kufungwa miaka minne

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Geita: Amchoma Mtoto kisu tumboni na kisha kujiua baada ya kugundua ana UKIMWI ila Mkewe hana

    Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Hivi ndivyo ilivyokuwa
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

    Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto. Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Back
Top Bottom