Je, Ni sahii mkewe kukaa mkao wa kimapenzi sebuleni mbele ya shemeji yake

Huh!!!! Kukaa kimapenzi ndo kukoje? Inanikumbusha siku nimeenda kwenye mafundisho ya ndoa, mchungaji akaniambia nimwambie mchumba (kwa sasa wife) I LOVE YOU kwa lugha ya asili.

Nilitafuta sentensi ya kihehe inayoendana na I Love you, nikakosa. Naye akasema makabila mengi ya kiafrika hayana maneno straight ya I love you.

Siyo maneno tu, na vitendo. So kitakachowasumbua hapo ni utamaduni plus exposure.
 
Back
Top Bottom