mkenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Mkenya akamatwa na Tsh. 91.2 Milioni akidaiwa kuiba benki mpakani Namanga

    Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Denis Ogesa (28), mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja, kuingia na kuiba fedha katika benki ya Azania, tawi la Namanga wilayani Longido. Ogesa anadaiwa kukamatwa wakati akiendelea kutekeleza tukio hilo la kihalifu katika benki hiyo ambapo...
  2. figganigga

    Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe? Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣 Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
  3. M

    Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  4. Yoda

    Mfanyakazi Mkenya aliyepotea Saudi Arabia kwa miaka 12 apatikana amefungwa gerezani kwa makosa ya uchawi.

    Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
  5. Username 20

    Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  6. dr namugari

    Mkenya aliyepazwa kunyongwa jana huko Vietnam amefikia wapi ?

    Toka jpili march 16 mkenya aliyepatikana na dawa za kulevya ktk nch ya Vietnam alitarajiwa atanyongwa march 17 saa 8.30 za usku. Hadi kufika Leo sijaona taarifa yoyote kuhusu mkenya huyo na serekali ya kenya ili kuwa ina haha kutafuta jinsi ya kumnasua mwezao huko Vietnam asinyongwe...
  7. Just Pray

    Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa...
  8. Mlaleo

    Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  9. GoldDhahabu

    Mzungu: Ukitaka kumskasirisha Mtanzania, mwambie kajifunza Kiswahili kwa Mkenya!

    Ni kweli Watanzania hukasirika wakiambiwa Wakenya wanakijua Kiswahili kizuri kuwazidi?
  10. W

    Kenya wanyakua Medali ya Dhahabu katika Mbio za Mita 800 za Wanaume Olympics

    Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani. Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na...
  11. ndege JOHN

    Bruce Africa bonge la artist ila biography yake nimeikosa hivi ni mtanzania au mkenya?

    Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
  12. L

    JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
  13. Idugunde

    CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  14. Sky Eclat

    Maisha aliyopitia daktari Mkenya katika safari yake ya elimu. Haikua rahisi lakini amefanikiwa

    THIS IS MY STORY: This is the house I used to rent during my early years of high school. I would wake up at 3am everyday to de-weed people's farms for pocket money. This reminds me of the phrase 'never give up in life' You see, 16 years ago, I had passed my KCPE exams with flying colours and I...
  15. BARD AI

    DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  16. Pascal Mayalla

    Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

    Wanabodi, Angalieni Diaspora Wenzetu Wanachofanya!, MKenya Afanya Makubwa US!, Sisi Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Walipo?. Just read and watch Swahili Village: A taste of Africa in United States of America Monday December 26 2022 The rich wooden finishing, lighting and...
  17. Last Seen

    Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  18. Mr Death

    Familia ya Mkenya aliyekwama Guantanamo yataka Rais Ruto aingilie kati

    JAMAA za Mkenya mmoja anayezuiliwa katika gereza la Amerika la Guantanamo Bay nchini Cuba, imeomba serikali iwasaidie kumrejesha nyumbani mpendwa wao baada ya wakili Bw Miguna Miguna kurudi nchini. Amerika haikumpata Bw Malik Mohammed Abdul na hatia na ikamwachilia huru mnamo Januari, lakini...
  19. Sildenafil Citrate

    Uhusiano ulioanzia kwenye Mtandao wa Craigslist wadaiwa kumfanya binti Mkenya apotee kusikojulikana

    Irene Gakwa ni binti aliyezaliwa nchini Kenya miaka 33 iliyopita ambaye mwaka 2019 alihamia nchini Marekani akiwa na ndoto za kusomea maswala ya afya. Irene alikutana na upinzani mkubwa kwenye hatua za awali za uamuzi wake huu kutoka kwa wazazi wake ambao hawakutaka ahamie huko, lakini kutokana...
  20. MoseKing

    Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
Back
Top Bottom