mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

    Good afternoon JamiiForums Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"? Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za...
  2. N

    TANZIA Mke wa Clatous Chama afariki dunia

    Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia. === #ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
  3. Nahisi mke wangu anachepuka

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
  4. M

    Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

    Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe. Hana raha na ndoa Hana amani Mke anamnyima unyumba Mke mkorofi Mke anaongea sana Mke kachepuka na mengine mengi 99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point...
  5. Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

    Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
  6. N

    Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili

    #Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili; 1) Haki za kimali (mahari, chakula, malazi, mavazi nk). 2) Haki za nafsi (Mwili). #Miongoni mwao ni;
  7. T

    Mke kwaajili ya staff mwenzangu

    Wasalaam, Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani. Sifa za mtafuta mke 1. Miaka 35 2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni 3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya...
  8. COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Jana hawa watalaamu walitoa ripoti yao. Niliisikiliza mpaka mwisho. Wenyewe wanajiita wataalamu lakini ripoti yao haikuwa ya kitaalam. Hawakutueleza uchambuzi wowote kuhusu baada ya mwaka mzima kutokuwa na lockdown na kutokuvaa barakoa hasara zipi tumepata na faida zipi tumepata!? Wamerukia...
  9. Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  10. B

    Aliyemuua Mkewe wa kwanza, Amuua Mke pili Tena na kufungwa miaka minne

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora...
  11. Zimbabwe: Mke wa Mugabe aitwa Mahakamani kwa tuhuma za kumzika Mumewe kinyume na utaratibu wa Kimila

    Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya mazishi “yasiyofaa” ya hayati Rais Robert Mugabe. Grace Mugabe anatuhumiwa kwa kuenda kinyume na utamaduni wa jamii yao kwa kumzika mume wake katika boma...
  12. Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

    AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji...
  13. D

    Mke kudeki uvungu kwa povu la kufulia na kuweka sufuria uvunguni ni sawa?

    Wataalam mnaelewa maana ya hii kitu? Mke kuhakikisha anatumia maji yaliyotumika kufulia kudeki uvunguni kila mara. Na usiku mke kuweka sufuria uvunguni likiwa na tango, mkaa na chumvi inamaana gani?
  14. B

    Natafuta Mke

    SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi: Yoyote halali. NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
  15. W

    Hitaji: Mke H.I.V positive (+)

    Sifa zangu.. umri: 33 kazi: nimejiajiri/kuajiriwa elimu: degree moja makazi:kanda ya kaskazini Sifa za mke.. umri: 18-35 elimu: form four ++ tabia/sifa: awe mpambanaji/upendo/tabia njema... Karibuni P.M wenye sifa hizo
  16. Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

    Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio huu ni ustaarabu? Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali...
  17. Natafuta Mwenza (Mke)

    Sifa zangu 1. Mkristo( dhehebu A.I.C) 2. Nina miaka 30 3. Mwenyeji kanda ya ziwa. 4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo) 5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde. 6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu. SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI 1. Umri miaka 20-25 2. Dini...
  18. Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaumia zaidi mahusiano yanapovunjika?

    Salaamuni wakuu. Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke.... 1: Nani huwa anaumia zaidi kuliko mwenzie? 2: Nani mwenye hasara zaidi kuliko mwenzie? (who is mostly at a loser...
  19. C

    Natafuta mke

    Nipo kanda ya kati dodoma Umr 27 yrs ☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose ☆sina nyumba ☆ sina gari ☆elimu la saba Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30 Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe If you're interested, karibu inbox tuyajenge
  20. Mume na mke wamepata watoto mapacha baada ya miaka 43 ya ndoa

    There is no age restriction to getting your wish fulfilled and this 68-year old woman in Nigeria proved that. The old woman was trying to have kids for a long time, to state, 46 years of long wait she did for the birth of her first child, but when she became successful, she got not one but a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…