Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaumia zaidi mahusiano yanapovunjika?

kityentyee

Member
Mar 9, 2021
72
338
Salaamuni wakuu.

Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke....

1: Nani huwa anaumia zaidi kuliko mwenzie?

2: Nani mwenye hasara zaidi kuliko mwenzie? (who is mostly at a loser side)

3: Nani huwa ana move on faster na kusahau ya nyuma kuliko mwenzie?

4; Nani huwa na msimamo thabiti wa kuachana kuliko mwenzie?

1620121017146.png

Mahusiano yakivunjika lazima mmoja apitie hayo. Hamuwezi kuwa sawa labda kaa wote mlikua mnaibiana.
 
Mahusiano yakivunjika lazima mmoja apitie hayo. Hamuwezi kuwa sawa labda kaa wote mlikua mnaibiana
Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenzi!

Unaweza sema hutapenda tena ila akatokea mtu akakupa amani ukajisikia comfortable utajikuta umependa tena tu bila kujielewa!

All in all katika mapenzi mizani hailingani kuna mmoja atakuwa anampenda sana mwenzie ila mwengine upendo ni asilimia ndogo! Mwenye kupenda zaidi ndiye atakaeumia in the event ya uhusiano kuvunjika!
 
Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenz!

Unaweza sema hutapenda tena ila akatokea mtu akakupa amani ukajiskia comfortable utajikuta umependa tena tu bila kujielewa!

All in all katika mapenzi mizani hailingani kuna mmoja atakuwa anampenda sana mwenzie ila mwengine upendo ni asilimia ndogo! Mwenye kupenda zaidi ndiye atakaeumia in the event ya uhusiano kuvunjika!
Mwenye Kupenda Haoni Chongo,Ataita Kengeza. 😆😁😀😂😃💘
 
Mahusiano yanauma sana kama ukiwa ulimpenda na kumuamini mwenzio sana! Thus why tunashauriwa tusiwatumainie wanadamu wenzetu ila ndio hivyo penzi lina uraibu sana mpenz!

Unaweza sema hutapenda tena ila akatokea mtu akakupa amani ukajiskia comfortable utajikuta umependa tena tu bila kujielewa!

All in all katika mapenzi mizani hailingani kuna mmoja atakuwa anampenda sana mwenzie ila mwengine upendo ni asilimia ndogo! Mwenye kupenda zaidi ndiye atakaeumia in the event ya uhusiano kuvunjika!
Uko sahihi mpenzi.
 
Salaamuni wakuu
Mahusiano yanapo vunjika either ya mke na mume au wapenzi tu wa kawaida walioshibana ikatokea sintofahamu baina yao hadi kupelekea kuachana je kati ya Me au Ke....

1: Nani huwa anaumia zaidi kuliko mwenzie?

2: Nani mwenye hasara zaidi kuliko mwenzie? (who is mostly at a loser side)

3: Nani huwa ana move on faster na kusahau ya nyuma kuliko mwenzie ?

4; Nani huwa na msimamo thabiti wa kuachana kuliko mwenzie ?
1.Anayeumia zaidi ni yule aliyevunja mahusiano yaani aliyeacha kuliko aliyeachwa kwa sababu ya ile kanuni ya kuchanganya maji na mafuta ya taa.

2.Mwanamke ndiye mwenye mwenye hasara zaidi.

3.Mwanamke ndio mwenye uwezo wa kumove on kuliko mwanaume kwa sababu ni rahisi mwanaume wa kumfuta machozi kuliko mwanaume kumpata mwanamke wa kumfuta machozi.

4.Aliyeachwa ndiye mwenye msimamo thabiti kwa sababu kumuacha mtu aliyekupenda ni kumpa uhuru zaidi kwani ni kama katua mzigo mzito.
 
1-Inategemea na aliyewekeza zaidi Moyo wake.

Ndio maana kuna wanaume wanajiua baada ya kuachwa na mademu.

2-Inategemea na aliyewekeza zaidi ..ndio maana kuna Wanaume wanajiua baada ya kumsomesha mpenzi wee na kumgharamia kisha wanaachwa.

3-Inategemea na aliyewekeza zaidi... Ukiwekeza sana,utamua sanaa, itakuchukua muda kumov on...... Tena ktk hili, ukute wee mwanaume niwale wanaoamin kupata dem kwa bahati..itakula kwako...mwanamke anaumizwa leo...kesho Anapigwa miti.

4-Inategemea na aliyewekeza .
 
Maumivu ya kuachana hayaangalii jinsi ya mtu, awe ke au me wote huumia. namba 1 na 2 inamhusu zaidi aliyeachwa bila kujali jinsi yake.
 
Ni mwanaume kwenye mahusiano asilimia kubwa anaewekeza zaidi ni mwanaume,
Anawekeza katika vitu vingi sna ,mfano pesa,upendo,kulinda familia,pamoja na ving,ko ikitokea mahusiano yale kuvunjika huumia sna
 
Anayeumia zaidi ni yule aliyependa zaidi, anayemove on faster ni yule aliyependa kidogo au hakupenda kabisa. Anayepata hasara zaidi ni yule aliyependa zaidi na kuwekeza zaidi.
Umemaliza kila kitu hapa hii ni summary.
 
Back
Top Bottom