Mke kudeki uvungu kwa povu la kufulia na kuweka sufuria uvunguni ni sawa?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,023
2,000
Wataalam mnaelewa maana ya hii kitu? Mke kuhakikisha anatumia maji yaliyotumika kufulia kudeki uvunguni kila mara. Na usiku mke kuweka sufuria uvunguni likiwa na tango, mkaa na chumvi inamaana gani?

Screenshot_20210510-154132.png
 

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
547
1,000
Kuhusu maji machafu kudekia Kama mtaani kwenu Kuna shida ya maji basi anabana matumizi ya maji.

Kuhusu tango kuwekwa kwenye sufuria na maji plus chumvi kibaolojia anafanya tango lisiharibike haraka ila kwenye mkaa hapo itakua poteza maboya ...


Ila kwenye tango tuwaulize vizuri wauza matango
FB_IMG_1620325381673.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom