Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

Nzi Chuma

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
468
1,142
Habari wakuu,

As usual, Nzi Chuma sidhuriwi na uvundo. Siku nyingi sana, nimewamis!. Naomba niwape kisa cha kweli cha kufungua huu mwaka 2021, maana tangu uanze sijaanzisha thread.

Miaka kadhaa nyuma nilibahatika kuoa mke ambaye nilihisi kumpenda. Mimi ni muumini wa imani sawa na ya JokaJeusi (sioi mtu asiye bikra). Ni falsafa nzuri sana, na ina faida nyingi sana. Kongole kwa mwanangu sana JokaJeusi kwa kuelezea kiundani zaidi kila siku.

Katika harakati hizo, nilipata mtoto mmoja wa kigogo (Idodomya) nikamuelewa. Nikafuatilia taratibu zote na mwisho nikajiridhisha kuwa ni bikra, nikaamua kufunga nae ndoa.

Siku ya kwanza kabisa ya harusi mambo ndipo yalipoanza kuwa magumu upande wangu, sikutegemea kukuta huyu mke wangu hana "Starter" a.k.a "Antenna". Nipo room na mipapaso ya hapa na pale, naona pale mahala pana kama kijipele tu flani hivi kimetokeza, kwakweli mood yote ikakata. Nikaanza kufikiria mbali saaaana. Nilifikiria maisha yangu yote ya mbele ndo yatakuwa hivi? Yaani nitaendelea kumega mke ambaye hana kinembe? Really??!

Ila sikumwonesha chochote wala ishara mbaya huyu mke wangu wa ndoa, nikapambana nikatoa ile bikra, na miezi sita baadae akapata ujauzito. Nikaendeleza kichapo na miaka miwili tena mbele akapata ujauzito mwengine na tukapata mtoto wa pili.

Sasa, hizi maku zilizomenywa, huwa zina kawaida ya kutosugulika vizuri. Kinembe kinapokosekana mwanamke huyu hupata tabu ya stimulation (hasisimki kirahisi). Hata ukinyonya k, bado ulimi wako utanyonya wapi? Lile shimo pana pale? Kwahiyo kadri siku zinavyoenda, niliona ile k ikiendelea kupoteza ubora wake, sikuweza tena kuifurahia.

Ingawa nilikua namkojoza sana, kutumia zile skills zetu za Tanga, lakini bado alikua anataka show hata kama mtapiga gemu siku nzima. (Kuna baadhi ya wanawake wapo hivi lakini believe me, kukosa kuridhika ni ugonjwa pia katika mapenzi).

Mke wangu alikua mnyumbulifu mnoo, anakaa kila mkao duniani, lakini who cares wakati hakuna kuridhika kwake?! Kila anavyopata mashine ndivyo anavyoitamani zaidi, kila anavyopiga bao ndivyo anavyotaka zaidi.

Ukipiga show ya kichovu ya dakika 30 ukakojoa anakuwa kama hajafanywa kitu. Kinembe hakuna, hakuna misisimko mikali, kwahiyo hakuna kuchoka.

Anyway, mimi niliona kukosekana kinembe ni sababu iliyotupa shida sana hapo kitandani, maana kabla yake nishakula madem kadhaa wasio na vinembe na hali ilikua hivyo. Wataalamu mnaoishi na hawa watu wa aina hii mtanipa mrejesho wenu. Sisi watu wa pwani haya mambo hatujazoea.

Mwisho kabisa niliona nastahili kikubwa zaidi ya hivi, nastahili kuwa na mke mwenye kinembe. Mke anayeweza kufurahia tendo na sio kugeuza kitanda uwanja wa vita. Pole sana mke wangu kwa kukupa talaka kwa sababu tu ya kukosa kinembe (Licha ya kuwa nilitengeneza sababu zingine zingine).

Niliona nastahili kuoa mwenye kinembe kwakweli. Kwa sasa nafurahia maisha mapya, napata japo pa kuramba.
Wale ambao tunaishi na wasio na vinembe, tupeane mrejesho. Mnaishije? Mimi miaka minne imenitosha, nimepiga chini.
 
Sasa mke wako unamuacha kisa uchi aende wapi au hujui ndo familia yako iyoo


Punguza matumizi ya Kichwa cha chini
Leeni watoto wenu
Sio kosa langu hilo, ni yeye ndo wazazi wake walimkeketa. Sasa mimi nivumilie mpaka lini
 
π•„π•‚π•Œπ•Œ β„•π”Έπ•Šπ•€π•‚π•€π”Έ ℍ𝔸𝕆 ℕ𝔻𝕆 π•Žπ”Έβ„€π•Œβ„ π•Šπ”Έβ„•π”Έ ℂ𝕆℀ π•Šπ•€π•† ℂℍ𝔸 π•Žπ•†π•‹π”Ό
 
Sasa unatumbia wanaJF tukusaidieje wakati ushafanya decision?...tukuimbie mapambio au?
Relax.. Kwani nani aliyekwambia hapa JF ni pa kupeana ushauri tu ndugu yangu...??! Hilo sio lengo la kuanzishwa kwa JF, hii ilianzishwa maalum kwa ajili ya kupashana habari tu. Ndo nlichofanya
 
Back
Top Bottom