Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

ibby

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
415
585
Habari za hizi saizi wanajamvi,

Naombeni ushauri,

Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe.

So what can i do as an advice my fellow brothers, sisters hua nauzika kichizi.
 
Mwambie hupendi hiyo tabia ila sio umwambia kwa kukurupuka nooo.., tafuta mda tokeni ata out kidogo mkae mahali.... Na hakikisha ana furaha na jaribu kumwelewesja
 
Habari za hizi saizi wanajamvi,

Naombeni ushauri,

Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe.

So what can i do as an advice my fellow brothers, sisters hua nauzika kichizi.
Nitupie tarehe ya kuzaliwa ya mkeo nikupe jibu
 
Hapendi kutoka na wewe... Atakuwa ana mambo yake kufikia kwamba akitoka na wewe usalama ni mdogo...

Kwa upande mwingine atakuwa ni mtu wa kususa susa sana,hapendwi kukosolewa na hiyo tabia mtu ukua nayo toka udogoni...

Cc: mahondaw
 
Akikasirika wewe tia utani,mpaka acheke halaafu out itaendekea.Wako wote hivyo na inategemea huko out unajibehave vipi,pili out unapoenda wewe umechagua au yeye. Asijekuwa anataka kwenda beach wewe unampeleka baa kwenye makelele,yaani hapo inakula kwako visababu mmsiende havikosekani!

Halafu out inahitaji maandalizi,ni Romantic issue na inabidi ujipange!

Mke anahitaji kumbembelezwa ndugu yangu.
 
Habari za hizi saizi wanajamvi,

Naombeni ushauri,

Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe.

So what can i do as an advice my fellow brothers, sisters hua nauzika kichizi.

Mzee unatuangusha ! Mtoto wa kike kubebembelezwa, na nafanya hayo ili umpeti mpeti nae ajione kua anathaminiwa na kupendwa... Hapo hakuna tatizo, huenda tatizo ukawa wewe haujui mtoto anataka kubembelezwa. Mtoto wa kike kama mtoto mchanga :rolleyes:
 
Kuna watu asili ya kisrani. Au mja mzito.km sio yote hayo kuna MTU anampa taarifa ambazo sio sahihi. Au ana mwanamme anayemdanganya.na km sio hayo yote mweleze waziwazi km hupendi tabia hio.kama habadiliki mwambie afanye maamuzi yy.sielewi Mungu akupe miaka 50 ya ndoa leo mwaka wa 4 unapata taabu hii. Hio ni dhambi kwenu wote.
 
Akikasirika wewe tia utani,mpaka acheke halaafu out itaendekea.Wako wote hivyo na inategemea huko out unajibehave vipi,pili out unapoenda wewe umechagua au yeye. Asijekuwa anataka kwenda beach wewe unampeleka baa kwenye makelele,yaani hapo inakula kwako visababu mmsiende havikosekani!
Halafu out inahitaji maandalizi,ni Romantic issue na inabidi ujipange!
Mke anahitaji kumbembelezwa ndugu yangu.
Manga shikamoo naona umebadili jina
 
Hapendi kutoka na wewe... Atakuwa ana mambo yake kufikia kwamba akitoka na wewe usalama ni mdogo...

Kwa upande mwingine atakuwa ni mtu wa kususa susa sana,hapendwi kukosolewa na hiyo tabia mtu ukua nayo toka udogoni...

Cc: mahondaw
kuhs kutok namie apo hujapatia labd kuhs kususa apo nawz elewa coz nisha sema nikacok naona ndo alivo sasa naco itaj kujua ni jinsi gan nikabilian na tabia hio she loves and i also love her
 
So what can i do as an advice my fellow brothers, sisters hua nauzika kichizi.

Mie mwenyewe nilipataga shida sana kumuelewa wangu, wakati mwingine hata barabarani alikua anazingua, sasa na mie nilikua namzingua kwekweli hadi anajuta, but baada ya kumsoma vizuri na kumuelewa, sasa hivi hakuna shida tena. Nina mlea kama mtoto mchanga, wakati mwingine kuwasha jiko tena la gesi hadi mie nikawashe, nisipo enda kumsaidia analia au kunuanaa .... but maisha matamu
 
Akikasirika wewe tia utani,mpaka acheke halaafu out itaendekea.Wako wote hivyo na inategemea huko out unajibehave vipi,pili out unapoenda wewe umechagua au yeye. Asijekuwa anataka kwenda beach wewe unampeleka baa kwenye makelele,yaani hapo inakula kwako visababu mmsiende havikosekani!
Halafu out inahitaji maandalizi,ni Romantic issue na inabidi ujipange!
Mke anahitaji kumbembelezwa ndugu yangu.
Asant kaka Mungu akubariki
 
Mkuu dawa ya wanawake wa hivyo ni kujitafutia mchepuko ili akinuna tu wewe kajipumzikie kwa mchepuko mbona akili itamkaa sawa tu.
 
Back
Top Bottom