Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Okechuku33

Member
Dec 30, 2015
78
30
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?
 
Back
Top Bottom