Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,980
Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo.

Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa huko katika maeneo ya Himo mkoani Kilimanjaro na wanaendelea kumhoji na pindi upelelezi utakapokamilika jalada litapelekwa ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria.

PRESS 28.05.2023.jpg
 
Huyu jamaa sijui alipiga na pombe kidogo ili aisingizie kumtuma?Mambo mengine ni kunyamaza tu kwa sababu sijui akili yake ilimtuma achukue hatua hiyo ngumu!Pliers kwenye jino..."kwaaaaach"...!🤔
 
Imekula kwake,angemuacha tu,kuliko kumfanyia hivyo.
Rai yangu kwa wadada na wamama,kama unajijua wewe unataka uhuru,na hutaki kuingia kwenye mvurugano wa mahusiano,kaa mwenyewe tu.Yawezekana MJOMBA wa CCM ndiye kapelekea yote hayo,ingawa yawezekana kuna long term causes zilizokuwepo.Nijuavyo mimi,watu wa vyamavyama vya siasa,wengi wao siyo waaminifu,huyo mjomba yawezekana ana mahusiano na huyo mama.
 
Anajiharibia maisha yake, kwa mtu mmekutana mkiwa na meno 32. Kuna watu wanapenda karaha katika hii dunia. Ninavyopenda uhuru wangu. Kisa wivu wa mapenzi, upewe mvua jela. Acha ahukumiwe, akutane na wababe wenzake jela.
Wana watakula mfugo....kuumiza bila sababu. Wakati mapenzi kitu cha hiari
 
Narudia tena chupi isiharibu maisha yako, Always be ready to decide either live with or leave her in peace.

Kama unajijua una hasira mbaya ukigundua au kuhisi mwanamke ana-cheat never wait for it to prove itself again "Fukuza"
 
Imekula kwake,angemuacha tu,kuliko kumfanyia hivyo.
Rai yangu kwa wadada na wamama,kama unajijua wewe unataka uhuru,na hutaki kuingia kwenye mvurugano wa mahusiano,kaa mwenyewe tu.Yawezekana MJOMBA wa CCM ndiye kapelekea yote hayo,ingawa yawezekana kuna long term causes zilizokuwepo.Nijuavyo mimi,watu wa vyamavyama vya siasa,wengi wao siyo waaminifu,huyo mjomba yawezekana ana mahusiano na huyo mama.
Mmbulu akishakuambia mjomba jua ni mchepuko wake huyo. Tatizo ni kwa huyo kijana kujifanya ana wivu na mapenzi sana Kwa mwanamke ambaye kwa mtazamo tu wa nje (Mungu anisamehe km sio kweli) anaonekana ni malaya. Pia ukisikiliza historia huyo jamaa alimkuta na watoto sasa alifikiri yeye ana akili kuliko hao waliomzalisha na kulala mbele?
 
kwanini una chuki na makabila ya watu. Nani amekuambia yule Mmbulu? Ukiona mwanamke yeyote mzuri lazima awe Mmbulu? Acha kukashifu makabila ya watu, hakuna tabia ya kabila fulani. Lini Mkonyi akawa Mmbulu? Hujui hata majina ya koo za makabila mpaka leo? Acheni hizo.
 
Ngoja akakutane na watetezi wa haki za wanawake ndio atajua hajui. Huwezi kuoa mwanamke km yule mwenye tatoo halafu ujifanye una wivu sana au unajua kupenda sn km ndg yetu Countrywide ! Lazima dunia ikufundishe in a harsh way.
Nimekumbuka huyu Jamaa aliyewahi kuua Bonge la Pisi Kali naye alikuwa na tatuu sababu tu ya wivu na kuacha katoto kadogo
JamiiForums818515326.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unaanzaje kumpiga mwanamke aisee? Mwanamke akikukosea kaa kimya,mkiwa bed ingiza dyudyu maliza lala.
Asubuhi nenda mishe zako,ukirudia mletee kyupi,heleni n.k then ingiza ondoka nenda kucheza draft,ukirudi ingiza lala......
 
Back
Top Bottom