Brother wangu wangu amesema nitoke nyumbani baada ya kumla mke wake, kwahiyo amesema akitoka London asinikute nyumbani! Najuta kumla mke wa kaka sheme

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua

Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla mke wa kaka? Sasa brother amejua kwasababu jana shemeji wakati namla kuna wafanyakazi wengine wa kuku walimtumia picha brother wakati namla so kaka yangu amejua hilo so hapa najiandaa kuondoka ila shemeji ameniambia atakuwa ananitumia pesa za matumizi ili niweze kuishi! Wakuu ama kweli mke wa mtu ni sumu na najuta kumla mke wa kaka yangu
 
Back
Top Bottom