mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa Kahama?

    Habarini wanaJF? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,naomba mnijuze ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba hapa manispaa ya Kahama.
  2. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kazi nyingi za serikali zilipaswa kuwa za mkataba/ajira zisizo za kudumu

    Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana. 1.Ubalozi 2.Mwanasheria mkuu 3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma 4.Madaktari 5.Polisi
  4. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

    Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂 Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
  5. Massawejr

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ajira ambayo inahitaji ulipie mkataba?

    Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yannick Bangala avunja mkataba Azam FC, apishana kauli na Rached Taoussi

    Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi. Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya mkataba au kazi yoyote halali

    Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally Elimu kidato cha sita (06) Makazi: Dar,mabibo Miaka:25 Kijiwe:kariakoo Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba naomba tuwasiliane 0685176087 Maisha ni kupeana fursa Pia kama kuna ajira yoyote nipo tayari kufanya
  10. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

    Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90 Hela ya kula per day ni elfu 3 Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Social Contract: Mkataba Baina ya wa Wananchi na Taasisi za Ulinzi unaharibiwa na kuendelea kuchanwa chanwa. Tujifakari

    Ili tuweze kuishi harmoniously tunahitaji sisi kama Raia na Wananchi tuingie Mikataba na kuilinda..., Na moja ya Mikataba hio ni Ulinzi na Haki ya kila Raia popote pale aweze kuishi vizuri ili mradi havunji Sheria na hata akivunja tufuate taratibu tulizojiwekea kama Jamii. Na hio sio Hisani wala...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Coaster ya mkataba inahitajika

    Naitwa bora Simon Joseph natafuta muwekezaji awekeze coaster yenye dhamani ya 50ml anipe mkataba wa miaka 3 yaan miez (36)nalipa 2.4 kila mwezi kwa mawasiliano na maelezo zaid 0764764214 napatikana dar es salaam
  13. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums na LHRC zasaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati

    Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Utawala Bora, kuchochea Haki ya Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

    Wanaukumbi. Yerusalemu CNN - Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba...
  16. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Feisal Salum amevunja mkataba wake na Azam Football Club

    Nimejongea JamiiCheck kwa mara nyingine, tafadhali naomba kupata uhalisi wa barua hii kama ni ya kweli kwamba Fei Toto amevunja mkataba na Azam FC
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nchi inaenda kuwa na umeme wa kutosha lakini inaingia mkataba kununua umeme toka Ethiopia

    Nchi hii iliyojaa vigogo wasioweza kufanya jambo bila maslahi yao binafsi kuwepo sasa inaenda kununua umeme toka Ethiopia. Ingefaa tuambiwe vizuri kama ni kwa faida ya nani maana jambo muhimu hapa kwa mwananchi wa kawaida ni kuona juhudi ambazo zimekua zikiendelea kwa kasi nzuri kusambaza umeme...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola mbioni kuongeza mkataba mpya Man City

    Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa City. Guardiola (53) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake wa sasa ambao...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Back
Top Bottom