Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili...
Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha yake yasiwe marefu kikosini hapo.
Mbali na Van Dijk mastaa wengine wat imu hiyo ambao mikataba yao...
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika.
Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma.
Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa.
1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run.
Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu..
This is too stupid for the club development
Ferdinand Shayo, Manyara.
Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja na Kampuni ya Muziki ya Bongo Records inayoongozwa na Producer Maarufu PFunk Majani kwa lengo...
https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q
Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna taswira nzuri kwa kuwa mikataba ilisainiwa na sherehe ikafanyika.
Anasema “Tulisaini mkataba na...
Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Süd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu?
====
Aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa FC, Athuman Masumbuko 'Makambo Jr' amejiunga rasmi na Klabu ya 1.FCA Darmstadt...
TAARIFA
Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024.
Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.
Tunamtakia...
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar.
Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga.
kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa.
Licha Chama...
Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na wataalamu wa maabara na wahudumu wa afya ngazi ya jamii zaidi ya 10.
Cha ajabu ni kuwa hawajapata...
Habari,
Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH.
Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima.
Namba yangu 0617146950
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza:
Serikali...
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa...
Habari viongozi,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo,
Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila leseni sina na sio mda nitakata, namba 0785598033
Watu wa Soka,
Umofia kwenu.
Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.
Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.