mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Haki ya kudai na kilipwa fedha ya pango pasipo na mkataba wa maandishi

    Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
  2. Valencia yamtangaza Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mpya

    Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa Valencia na kusaini mkataba wa miaka miwili Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada ya kuiongoza kushinda taji la Coppa Italia Mwaka jana alitajwa kupewa nafasi ya kuifundisha...
  3. J

    RC Kafulila: TAKUKURU chunguzeni mkataba wa ujenzi wa ofisini yangu

    Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
  4. Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

    VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
  5. Eti STAMICO wanauza Makaa ya Mawe tani moja kwa Tsh 60,000/= Mkataba huu Uvunjwe

    Salaam Wakuu, Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja! Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na...
  6. Jifunze namna ya kuandika mkataba kisheria unapouza au kununua

    MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
  7. Yanga yamalizana na Saidoo Ntibazonkiza.

    Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa Saido aligomea kusaini mkataba mpya kuendelea kusalia klabuni hapo. https://t.co/4fEpD2zd8U
  8. Mkataba wa Stamico wa kuuza makaa ya mawe uchunguzwe

    Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja! Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na shilingi za Kitanzania 740,250...
  9. I

    Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

    Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
  10. Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

    Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5. Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
  11. Wakati mkataba wa Yanga ukimalizika, Bakari Mwamnyeto asaini mkataba wa Tsh milioni 190

    Wakati msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza kuwa beki kisiki wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na vigogo kadhaa amesaini dili jipya. Taarifa zinaeleza kuwa Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Tsh...
  12. Kocha Man. Utd Asaini Mkataba Kuifundisha Austria, Mashabiki Wakasirika

    Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Austria majukumu ambayo atayaanza baada ya kumalizika kwa msimu huu. Pamoja na hivyo atakuwa akiendelea na mjukumu ya kuwa mshauri wa Man United jambo ambalo mashabiki wa timu hiyo wamekasirika na wamekosoa...
  13. Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

    Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco. Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi. Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
  14. M

    Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  15. M

    Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  16. Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  17. Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

    Taarifa ni kuwa bondia namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kusaini mkataba wa kucheza ngumi nchini Marekani wenye thamani ya Sh milioni 232 chini ya bondia wa zamani na promota Dmitriy Salita wa Kampuni ya Salita Promotion. Mtanzania huyo ambaye kwa sasa anaishi na kufanya mazoezi...
  18. Rais wa DRC apanga kuja Nairobi kutia saini mkataba wa EAC

    Kama hatua za mwisho za kurasimisha.... DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty. Kenya is the current chair of the EAC and Tshisekedi is expected to sign the treaty before President Uhuru...
  19. Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  20. Mkataba wa Ulinzi Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi tofauti tofauti, kuna haja ya kufanya mambo kadhaa. Kwanza ni kuweka sera ya pamoja ya ulinzi ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…