mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa Kawaida: Wapuuzeni Wanaopotosha Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa mikataba Prof. Kabudi yuko wapi mjadala wa mkataba wa kuuza bandari?

    Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba. Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

    Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Mkataba wa Bandari ni madudu, Chukua Chako Mapema?

  6. J

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo. Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  10. Yuzzow

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mzozo wa mkataba wa Mlimani City

    Kudra za mwenyezi Mungu ndiyo zimetupa afya na nguvu ya kufanikisha kuandika hili na wewe ndugu, kupata nguvu na uwezo wa kusoma hili andiko kuhusu Nchini Tanzania, Mzozo wa Mkataba wa Mlimani City umekuwa mada ya mjadala kwa muda mrefu. Mzozo huo unahusu ujenzi wa jengo la maduka lenye thamani...
  11. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
  12. NgomaJr

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bajaj mpya ya mkataba

    NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24. Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa jambo hlo please
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

    ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

    Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele. Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

    Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
Back
Top Bottom