mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

    Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Mh. Lissu sasa inatosha umetudharau vya kutosha; inawezekana vipi kuwe na mkataba wakati kuna mambo huyakubali?

  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukomo mkataba bandari utawekwa kwenye mikataba ya miradi

    Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari akitoa ufafanuzi kuhusu suala la ukomo wa muda kwa mikataba ya uendelezaji na uboreshaji ufanisi wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
  4. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari hawalalamikii Mkataba wa DP world kuwatenga wasinufaike na wao!

    Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa. Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaziruka nchi Wanachama wa EAC na kusaini mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya uliokuwa unalalamikiwa

    Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016. ======== Kenya has signed one of the most ambitious trade deals between the European Union and any African...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  7. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kupambanua ni ushahidi tosha kuwa Mkataba wa Bandari una walakini

    Kila uchao, viongozi wanapishana hadi kugongana kwenye kuwahi 'kuuchambua' na 'kuupambanua' mkataba wa ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Emirati kupitia DP World. Mkataba ulishasainiwa na kuidhinishwa na Bunge. Umebaki utekelezaji tu. Lakini, kelele za wananchi juu ya mkataba huo...
  8. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four. Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
  9. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

    Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo. Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
  11. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Je, Muumgano ukifa Mkataba wa DP World nao unakufa?

    Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba. Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki...
  12. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  13. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa mkataba wa DP world, Mchina na wadau wake wamepigwa bao dakika za majeruhi

    Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  15. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Propaganda na upotoshaji wa kauli ya Freeman Mbowe uliofanywa na Nape Nnauye bungeni wachambuliwa

    Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano. Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
  18. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Kila waziri anaongea yake kuhusu Bandari, Wananchi wanazungumzia MKATABA!

    Rais Samia aliwahi kumtukana waziri wake kwamba alifanya 'nonsense'. Limekuja suala ya kuuza bandari sasa kila waziri na wanasiasa wanainuka kutetea uuzwaji huo wanaongea nonsense! Lukuvi kajitutumua akajikuta nonsense yake inaeleza umuhimu wa kuvutia wawekezaji. Wananchi wanazungumzia MKATABA...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

    Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi wetu wa sheria wamepitwaje na jambo hili la msingi kiasi cha kutumia vigezo vya mkataba kuhukumu...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
Back
Top Bottom