mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video: Vuta Nikuvute ya Halima Mdee, Spika Tulia na Patrobas Katambi kuhusu Mkataba wa DP World na Serikali

  2. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Nimepata utata kwenye mjadala unaondelea bungeni, huu ni Mkataba au makubaliano?

    Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge wachangiaji wanadai mkataba haujafika Bado! ukifika tuu wataupeleka bungeni😇 Wabunge wanautaja mkataba...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mkataba DP World, Bandari ya Mangapwani, Daraja la Zanzibar: Miradi hii ina uhusiano?

    Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari. Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania DP-World: Ibara ya 5(4) ya mkataba inayotaja miezi 12, haitekelezeki kwa kuzingatia ibara ya 23

    Ibara ya 5 - Haki za Kukuza, Kuendesha na kusimamia (1) Nchi Wanachama wanakubaliana kwamba DPW itakuwa na haki pekee za kukuza, kusimamia na/au kuendesha Miradi kama ilivyoelezwa katika Kiambatisho 1 sehemu ya 1, moja kwa moja au kupitia Kampuni washirika chini ya Mkataba kama itakavyoainishwa...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Ibara ya nne ya mkataba inayolazimisha Tanzania kuitaarifu DP-World kuhusu fursa za uwekezaji irekebishwe

    Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji (2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..." Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
  6. OLS

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

    Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote. Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

    Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu. Anasema mambo yafuatayo 1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa 2. Pili...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  13. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa kukodisha Bandari: Ni Rais na Mwenyekiti wetu tu ndiye awezaye yote tuyatakayo

    Kwa mujibu wa Katiba na Sheria zetu zinazoliongoza Bunge, Rais ni sehemu ya Bunge. Kama Rais aliridhia (kwa kuusoma au kusomewa au kutafsiriwa mkataba wa kuikodisha Bandari yetu kwa DP Word) kusainiwa kwa mkataba huo, sehemu moja ya Bunge imeshaupitisha. Mnaelewa? Kichama, Rais ni Mwenyekiti wa...
  14. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji elimu kabla ya kutoa maoni kuhusu mkataba mpya wa bandari

  15. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tuzuie upotoshaji wa kiserikali kuhusu MoU na Mkataba wa Awali

    Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya hayo maneno yana maana gani hasa. Maana na Tafsiri halisi ya MoU - Memorandum of Understanding au...
  16. Mr Q

    JamiiForums Tanzania UZEMBE; Kwa nini Makame Mbarawa alikosea sehemu ya kutia saini kwenye makubaliano ya Mkataba wa bandari? Aliusoma kweli?

    Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya. Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM bado awajatoa msimamo wao kwenye huu mkataba, maana yake wanasema Bandari ziuzwe

    Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu. Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe. Mara viongozi...
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai. Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Mwenye mkataba kati ya JMT na Dubai kuhusu bandari atuwekee humu

    Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
Back
Top Bottom