Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru
wa kutoa maoni.
Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji, akaenda Kondoa na sasa yuko Manyara sijamsikia akipigia debe suala la mkataba wa bandari.
Ndani ya CCM...
Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho.
Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana.
==========
Mdau mwingine pia aliandika:
=====
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge,
Fax No. +255 026 2322624 S.L.P. 941,
E-mail: cna@bunge.go.tz DODOMA...
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
Wanaendelea kupotosha kwamba mkataba huu hauna ukumo, sio kweli! Mkataba huu una ukomo; ibara ya 23 ibara ndogo ya 1 inasema wazi ukomo wa mkataba huu; itakapotokea moja katika haya mambo mawili, kule kwenye mradi wa utekelezaji (ambao haujaanza) mradi ukaisha basi na mkataba huu utakuwa umefika...
Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper.
Akisema kuwa haamini...
Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi.
Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF.
Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023
1. UTANGULIZI
MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI
Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
Wasalaam,
Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki.
Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
kwa nini wa africa tunapenda ugomvi ?kama mkataba bandari kati ya Tanzania na DP World kuna wanaona ni mkataba ni mzuri na wengine ni mbaya kwa nini wasiitane wakakaa pamoja wakaelewashana mambo yakaisha kuliko kutukanana na kupelekana police na mahakamani? wanaolumbana wote ni wantanzania...
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa...
Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam.
Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.