Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,100
Wasalaam,

Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki.

Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa na hao mafara Kwa malengo yao. Tanganyika ni yetu sote tangu enzi, sasa na hapo baadae.

Kama midudu yenyewe iliyopuyanga kama vyura kwenye huu mkataba inaona aibu. Mungu wa kweli mwingi wa rehma ni mpenda haki.

Tuwe wakweli lile limkataba hata tumbili na ngedere wakipewa kuusoma watachambia mavi.

Hivi kweli Karne hii mtu anasign mkataba wa kimangungo kama sio kuoza akili ni nini. Atuambie labda amepewa uraia wa huko au ana vinasaba na watu wa huko labda kwenye familia yake kuna ndugu zao wameolewa huko.

Tuache kushabikia ujinga kwa makosa ya kindezi kama yale. Hao wapumbavu wakijivika kivili cha dini huo ni upumbavu wao wajibebe wenyewe Kwa mkataba wenye ukichaa wa hovyo.

Tanganyika ni yetu na haitatokea fala yeyote afanye anavyotaka never na ni never.

Movie inaendelea vita pia inaendelea.

Wabillah Tawfiq

Wadiz
 
Watu wanajivika upofu tunasema kuwa chadema ni ina udini sana ukiachana na kujipendekezq kwa wazungu
 
Majizi ndio wanapinga makubaliano ya Bandari.
Hakuna popote pale watu wamepinga mkataba wa DPW.
Watu wametoa mapendelezo ya kurekebisha baadhi ya vipengele tena ni vichache tu.
Chama cha Wanasheria kimeshatoa mapendekezo hayo na kimeyawasilisha serikalini.

Tatizo watu wanaoongelea Mkataba huu sio wanasheria bali wanasiasa na wanakomedi.

Hii ni nchi huru na ipo katika Uchumi huru na sio wa monopoly. Kuwa kampuni moja iwe na mamlaka nchi yote na kwa kipindi chote bila kupewa ushindani au kusitishwa ikifanya madudu.

Eleweni mnao ongea ongea hili swala ni la kisheria.
Tuwaachie wanasheria na wameshatoa mapendekezo ya vipengele vya kuurekebisha.
 
Mlishaambiwa ule sio mkataba ni maelewano.MoA ni tofauti contract.
 
Wewe ndio huelewi.Tofautisha makubaliano na mkataba.
Makubaliano yakiandikwa na kusaniwa ndio mkataba huo.

Huo ni mkataba wa jumla utakaoongoza mikataba ya utekelezaji miradi.
Ni kama Katiba mama kwa sheria ndogondogo.
Acheni mambo ya kisheria yaongelewe na wanasheria.
 
Makubaliano sio mkataba.Tofautisha Mwalimu na mkufunzi,ni watu wawili tofauti.
 
Mnapoteza muda nchi bdo inasonga mbele
..kila siku bandari bandari
Tokea mama aingie madarakan wapinzani walikosa kabisa kitu cha kuwapa Kiki
Ndio maana wanakomaa na hili tuh ila mwisho wa cku wananchi wataona ukweli wa hili
 
Wasalaam,

Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki.

Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa na hao mafara Kwa malengo yao. Tanganyika ni yetu sote tangu enzi, sasa na hapo baadae.

Kama midudu yenyewe iliyopuyanga kama vyura kwenye huu mkataba inaona aibu. Mungu wa kweli mwingi wa rehma ni mpenda haki.

Tuwe wakweli lile limkataba hata tumbili na ngedere wakipewa kuusoma watachambia mavi.

Hivi kweli Karne hii mtu anasign mkataba wa kimangungo kama sio kuoza akili ni nini. Atuambie labda amepewa uraia wa huko au ana vinasaba na watu wa huko labda kwenye familia yake kuna ndugu zao wameolewa huko.

Tuache kushabikia ujinga kwa makosa ya kindezi kama yale. Hao wapumbavu wakijivika kivili cha dini huo ni upumbavu wao wajibebe wenyewe Kwa mkataba wenye ukichaa wa hovyo.

Tanganyika ni yetu na haitatokea fala yeyote afanye anavyotaka never na ni never.

Movie inaendelea vita pia inaendelea.

Wabillah Tawfiq

Wadiz

Inshu ya udini imeingizwa na wajinga wa chama cha mafisadi ili kuleta utengano,ila mtu mwenye akili na mwelewa hawezi kubali aina hii ya mkataba.
 
Back
Top Bottom