mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika kitabu chake cha "My life, My Purpose" Marehemu Mzee Mkapa alikiri kuzushiwa kifo akiwa madarakani

    Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo. Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui...
  2. JamiiForums Tanzania Upendo amri iliyo kuu - Na alichowahi kusema hayati Benjamini Mkapa

    Yoyote yule unayemuona pamoja na mazuri na mapungufu yake ni zawadi yake mungu kwako. Muwe na jumapili tulivu wapendwa 😍🇹🇿❤Tupendane👍✌🙏
  3. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika: Mamelodi Sandowns yang'ara kwa Mkapa, Yaipiga CR Belouizdad goli 5 kwa 1

    Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki. Katika mchezo huo watazamaji hawatoruhusiwa kuingia uwanjani...
  4. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  5. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

    11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi 13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p) 24':Yanga 1-2 Kagera - Mwaterema 30': Yanga 2-2 Kagera - Kaseke 45': Yanga 2-3 Kagera - Mhilu 61': Yanga 3-3 Kagera - Tonombe Mpira umekamilika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na wamegawana pointi. FT |...
  6. JamiiForums Tanzania 28 New Government Jobs UTUMISHI At MNH, NCT, DUCE, PURA & Benjamin Mkapa Hospital, February 2021

    On behalf of Muhimbili National Hospital (MNH), National College of Tourism (NCT), The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) and Benjamin Mkapa Hospital, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 28...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Al Ahly hii ule utaratibu wetu wa point 9 kwa Mkapa utawezekana kweli?

    Naitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu Yangu ya Simba ijiwekee utaratibu mwingine kwamba angalau tushinde japo mechi moja ugeninini ili tuweze...
  8. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

    Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira. Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
  9. JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kila nikisoma Kitabu cha Mkapa namfananisha sana Jah People na Rostam Azim kama nyota wa mechi

    Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka. Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ufahamu na Taasisi ya Benjamini Mkapa anisaidie hapa

    Wanajamvi nawasalimu katika jina la Bwana Mungu Mkuu. Taasisi ya Benjamini Mkapa ni kitengo ndani ya serikali au ni Taasisi binfsi? Nauliza hivyo kujua kama mtu akiajiriwa na hiyo taasisi anakuaa na ajira ya kudumu au ya mkataba? Taasisi ya Benjamini Mkapa Inafanya kazi na TAMISEMI na ajira...
  12. JamiiForums Tanzania Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za uchaguzi wa mwaka 2015 ambazo yeye alishiriki kikamilifu ndizo leo hii tunaishi kwa consequences...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Despite the hullaballoo, Benjamin Mkapa Stadium Complex is no match to Kasarani complex which was built way back in 1987

    The Benjamin Mkapa Stadium complex consists merely of two stadia, the 60,000 seater Benjamin Mkapa Stadium and 23,000 seater Uhuru stadium which are merely football stadia. Meanwhile, the Moi International Sports Centre, Kasarani consists of 1. 60,000 seater Kasarani stadium (Football, rugby...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  16. JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

    Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa. Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya. Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila...
  18. JamiiForums Tanzania Mkapa Stadium

    Léo 9/10/2020 Kesho kutwa mechi. T Stars vs Burúndi. No comment
  19. JamiiForums Tanzania Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

    Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa. Alijiamini kupita kiasi.angekuwa amejishusha kiasi flani alikuwa ana uwezo wa kuifikisha nchi mbali sana. Alikuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Mzee Mkapa ni pigo kubwa sana kwa Serikali ya CCM

    Heshima kwenu wanajamvi. Wakati huu ambao bado machungu ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tau Mzee Mkapa hayajaisha, naona ndani ya CCM wana wakati mgumu sana kwani Mzee mkapa ndiye aliyekuwa kama nguzo kwa huyu mgombea anayetetea nafasi kwa mara ya pili. DALILI ZOTE ZINAONESHA KUWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…