mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  2. Mjini vs kijijini

    Hizi ni hasara za kukaa kijijini Tukianza ukiwa kijijini Kuna vitu lazima utavikosa. Akili yako inakuwa haipanuki yaani unakuwa ni kama umefungiwa kwenye kibubu Ukinunua kitu hasa cha kuanzia m1 kwenda juu habari zinaenda mpaka mtaa wa sita Utafanya kazi za serikali za kujenga sijui...
  3. Tunaombeni uzoefu wenu wale mlioweza kuwatoa mabinti bush kuwaleta mjini, wana nafuu ?

    Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
  4. H

    Tahadhari: Wizi wa betri za magari Songea

    Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani, JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
  5. Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

    Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa ambayo malipo yake Kwa siku chini ya Tsh 8,000 au kama pia kutakuwa ntapata chumba cha kupanga ambacho...
  6. Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Habari zenu wanajukwaa, Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba. Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga. Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
  7. Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  8. Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  9. Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  10. Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo, Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
  11. Ushauri kwa watu wa mkoani wanaoishi Dar: Pangeni mjini na nje ya mji

    Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku. Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu. Msaada nilio mpa: 1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
  12. Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  13. Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  14. Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?

    HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI? Anaandika, Robert Heriel Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi? Ni kwamba haujui umuhimu wake? Haya sitaki kukuchosha; 1. Huna...
  15. M

    Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  16. Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  17. G

    Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  18. DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  19. Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  20. Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…