mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mjini vs wajanja wa mjini...!

    Jeshi la Polisi Tanzania kwa siku hizi mbili wametumia si chini ya shillngi millioni 300 kwa kutengeneza hofu"fear of unknown" na kwenda kupambana na hofu waliyo jitengenezea wao wenyewe. 1.Hatua ya Kwanza walihakilisha wanamdanganya Mama wawa tu kuwa anaenda Kupinduliwa Mbeya na BAVICHA...
  5. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
  7. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji daftari la wapiga Kura Bukoba Mjini wamepigwa pesa zao

    Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

    Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :- 1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi...
  10. Trayvess Daniel

    JamiiForums Tanzania Msaada uzoefu wa watumiaji wa unlimited Internet ya Airtel Mwanza mjini

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada..... Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa...... Kama unatumia...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kweli mjini hakuna Mzee😂😂😂😂.

    Kweli mjini hakuna Mzee😂😂😂😂. Kapigwa kokoto lakutosha na Angle zimezingatiwa😂😂
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  13. Mshati940

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za kuchafuana zashika kasi CCM Moshi mjini

    Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
  16. Jeje255

    JamiiForums Tanzania SGR kuziba njia za watu bila kuweka utaratibu mbadala Dodoma mjini

    done
  17. africatuni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

    ................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya. A HOE IS A HOE.
  19. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  20. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Tetemeko mjini Arusha

    Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili? Wasalamu.
Back
Top Bottom