Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo.
Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka.
Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri.
Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo tele kila mahali.
Mitaa ya Goig Mbezi Beach kanunua mtaa mzima.
Kama utafika Mbezi NSSF road ile...
Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani.
Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi.
Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana.
Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar.
Mifano ipo mingi sana, siwezi...
Habari Zenu wakuu.
Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan.
Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA.
So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka.
Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny.
Asante
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.
Hezbollah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.