mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  2. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania DRC: Maelfu waukimbia mji wa Goma kukwepa mlipuko wa awamu ya pili wa volcano ya mlima Nyiragongo

    Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili. Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayokamilika Mombasa imefanya huo mji kufunguka balaa

    Mombasa panazidi kunoga.... Port Reitz and Moi International Airport Access Road in Mombasa Over the past couple of years, mega infrastructure developments have been taking shape in Mombasa County geared towards enhancing its image as the gateway to East and Central Africa and as the tourism...
  5. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Narudi nyumbani, Kama mtakuwa na muda mji organize tukutane airport

    Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu. Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea...
  7. KakaJambazi

    JamiiForums Tanzania Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

    Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe. Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita

    Wataalamu wa historia ya nchini Misri wamefanya ugunduzi wa kushangaza wa mji ambao ulikuwepo zaidi ya miaka 3,400 wakati wa muda wa farao. Uzinduzi huo umetajwa kuwa muhimu tangu kugunduliwa kwa kaburi la kale la Tutankhamun. Wana akiolojia hao ambao walikuwa wakitafuta hekalu katika eneo...
  9. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  10. Ndebile

    JamiiForums Tanzania ISIS Wameuteka Mji wa Palma Kaskazini mwa Msumbiji

    Habari ya hivi punde kutoka kituo cha televisheni cha France24, Mungu ibariki Msumbiji, Mungu ibariki Afrika.
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 amebuni huu mji wake. Hivi ni vipaji vya ubunifu vinatakiwa kuendelezwa

  12. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama amkataliwa kijana wake kulala kitanda kimoja na mke wake kwenye mji wake waliko kwenda kuomba hifadhi baada ya mafuriko

    https://www.yahoo.com/news/woman-blown-away-mother-law-183710718.html
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jameni Westlands ya Nairobi imekuwa mji kivyake, kuna mtu humu aliwahi kuilingansha na Kariokoo ya Dar

    Kwa mnaofahamu Kariokoo ya Bongo, hivi kwa akili timamu unaweza ukalinganisha na hii picha hapa chini, na ifahamike hili ni eneo nje ya mjini, lipo lenyewe, hii labda uilinginishe na Kigali ya Rwanda. One Africa Place Building in Westlands, Nairobi Nairobi’s Westlands area is regaining its...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

    Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani. "Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

    Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili. Source: Star Tv (habari saa 2)
  16. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Mji wa Mwanza umekuwa na Joto kali sana

    Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa. Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu? Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

    Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe. Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua...
  18. uran

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

    Wakuu imebidi niuize ili nijue. Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari. Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia

    Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia. Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za umma, viwanja vya michezo, makaburi na vituo vya mabasi endapo kutakuwa watu wengine waliosimama...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mji wa Tabora sawa na "Toronto"

    January 20, 2021 TABORA TANZANIA (Unreported) Nimefarijika sana kuona youtuber akifanya kazi nzuri kuitangaza Tanzania na miji yake kwa waTanzania na ulimwengu kwa ujumla. Tulikuwa tunamsikia Regional Commssioner wa zamani wa mkoa wa Tabora mzee Aggrey Mwanri akituambia kupitia vyimbo vya...
Back
Top Bottom