mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  2. JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano: Mahojiano na Victor Madaha

    https://youtu.be/TDuIF6VnOCc?si=bJ__xA2Yi34yKSBv
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Victor Madaha ananukuu malalamiko ya watu: "Wazanzibari wanalalamika kazi zao zinachukuliwa na hawa kutoka Tanganyika... wamekuja kuwa watanganyika wasitibiwe kwenye hospitali zanzibar". Kuhusu mzigo wa bima ya afya: "Mahospitali kwa maana ya bima zile wamekuwa wakitibiwa sana watu wa bara sana...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  6. JamiiForums Tanzania Fetish ni nini? Mjadala wa kuvutiwa kingono

    Fetish inamaana gani? Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili ambayo kikawaida haichukuliwi kama kiungo kikuu cha uzazi au sehemu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

    Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
  8. JamiiForums Tanzania Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

    Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence. Mmbunge...
  9. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  10. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

    Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)? Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika? Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya? Zingatia neno TABIA MBAYA! https://www.facebook.com/share/v/14kX7ftmETV/
  12. JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. Akwilina Victor Kayumba?

    Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye uzito—kuanzia utafiti wa kisayansi hadi kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini. Dkt. Kayumba ana...
  13. JamiiForums Tanzania Mjadala wa leo: Mapenzi au biashara?

    🔥 Kuna kauli imeibua mjadala mzito: Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳 Swali ni hili👇 Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti? 👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”? 👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara? 👉 Je...
  14. JamiiForums Tanzania Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

    Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo. Kwa mujibu wa akili mnemba...
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  16. JamiiForums Tanzania Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

    Unawaza nini? Unakumbuka nini? Je unakuogopesha? Je inakuumiza? Je inakuogopesha? Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments Karibuni kwa mjadala https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjadala wa maandamano ya Disemba 9 wajadiliwa hadi bar. Vijana kwa wazee waja juu

    Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025 Wakiwa kwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…