mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,458
- 3,127
Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania ambayo inatarajiwa kufikishwa mnamo Aprili 2023 imefunuliwa. Hati ya ndege iliongezeka kwa dola milioni 49. Ndege hiyo ni kati ya ndege nne za Boeing ambazo zilinunuliwa na serikali ya Tanzania mnamo 2021 kwa gharama jumla ya dola milioni 726, ikiwa ni pamoja na Dreamliner 787-8 na ndege mbili za 737 MAX.
Aise kuna kuiba lakini walioiba hii fedha. Hii ni nafasi kwa bunge hili la chama kimoja ku prove kwa wananchi kuwa wana meno ya kushughulikia ufisadi. Ni mategemeo yetu report ya CAG itakapofika bungeni itafanyiwa kazi vizuri ili hawa wahuni warudishe hiyo fedha aise.