miwa

  1. Mjanja M1

    Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  2. Melki Wamatukio

    Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi

    Waziri Dkt. Kijaji: Ongezeni Kilimo cha Miwa kwa Wingi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara . Dkt...
  4. Mr HQ

    Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Habari wan JF Natumai ni wazima, Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani. Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
  5. Travis Kitengo

    Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ashatu Kijaji: Limeni Miwa kwa Wingi Soko la Miwa Limekuwa Kubwa

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini. Dkt. Kijaji...
  7. ikhlas

    Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  8. Dharafu

    Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  9. S

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari. Nimepata shamba la heka sitini ambalo nina mpango wa kulinunua, nakuja kwenu kujua kama kuna mtu aliyewahi kulima au kusikia juu ya...
  10. Jitume Biashara

    INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

    Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito ni 34kg 🔸️haitumii umeme 🔸️ukubwa wake 46*36*46 🔸️haitumii umeme yani ni manual 🔸️material yake ni...
  11. B

    Biashara ya miwa

    Habari wakuuu, Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna. Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa juamla anisaidia Kwa hapa Dar es salaam. 0658644485 number yangu
  12. Mtoto mkubwa

    Biashara ya miwa

    Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta shngap na biashara inaendaje kwa ujumla. Ahsanteni..
  13. MsemaKweli69

    Changamoto za Vyama vya Ushirika katika Kilimo cha Miwa Kilombero

    Habari Wakuu, Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara. Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
  14. FatherOfAllSnipers

    Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

    Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
  15. T

    Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  16. M

    Natafuta supplier wa Miwa wa uhakika

    Salaam! Wakuu natafuta connections ya muuzaji miwa malipo cash kwa bei ya jumla Tafadhali sihitaji Dalali nataka connections na mkulima mwenyewe
  17. M

    Inaitajika: Mashine ya Kutengeneza Juice ya Miwa

    Wadau salaam! Naitaji nshine ya kutengeneza Juice ya miwa kwa Dar. Iwe mpya au used kwa bai rafiki! Naomba ni PM kama u a offer.
  18. G

    Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

    Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk. Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
  19. NDOTO KAVU

    Mwendazake na kipenga uwanjani, nimekumbuka kauli ya kata miwa badala kupuliza kipenga. Awamu ya mwendazake panahitajika kitabu Cha somo tosha darasan

    Wana ndugu. Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani? Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
  20. chumvichumvi

    Mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nipeni nipeleke miwa yangu

    Kwema wana jamvini. Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
Back
Top Bottom