Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI MITATU TU!!!
Kila kitu 1M
Habari za sikukuu!
Biashara ya miwa imeshika kasi sana maeneo ya Mbagala hasa toka kizuiani mpaka Mbagala rangi tatu, ukipita njia ya Mbagala maeneo hayo utakuta vijana wengi sana wanajipatia ridhiki yao kwa kufanya biashara hiyo ambayo kiukweli inafanya vizuri kutokana na muonekano wa maeneo...
Habari wanaJF,
Huyu anafahamika kwa jina la Ameir. Ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Kilosa.
Kama mnakumbuka huyu alishawai kutajwa na waziri wa ardhi mh Lukuvi mbele ya Rais Magufuli kuwa anamiliki mashamba makubwa kinyume na utaratibu.
Kwa sasa amevamia kata inaitwa Mbigiri na...
Habari Jf.
Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa.
Mashine inatumia engine ya petrol.
Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua.
Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion.
Mashine iko Ubungo River side.
Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri.
Piga simu au...
Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa.
Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana
Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Habari!
Hiki ni kiwanda cha miwa cha mkulazi(Mbigili).
Hapa kiwandani baadhi ya miwa imekomaa lakini kiwanda haifahamiki kitaanza lini usindikaji.
Ni kiwanda ambacho kipo wilaya ya Kilosa, ujenzi wake unasuasua sana...
Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa
➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme,
➡ Bei ni 2.3 ml
📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi
.
Habari ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa mapema hii nikiwa na shida ya hii mashine ya kutengeneza juice ya miwa, nahitaji kutoka kwa mtu atakayeweza kunikodisha na sio kununua. Awe Dar es salaam na bei ya kukodisha iwe affordable
Habari...
Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi.
Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata.
Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.