WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA
Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza.
Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo!
Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide.
Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana.
Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile.
Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator"
KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya...
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?
Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?
So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.
Acheni utoto nyie
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo...
Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu.
Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita.
Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri siku hiyo!
Milengo ni siasa(nje na ndan), uchumi, biashara, technolojia/ubunifu na afya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.