mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwana Bongo

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  2. Mr Why

    Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  3. R

    Aliwahi kuwa star kwenye mitandao, kapotelea wapi huyu mwamba

    CHIKUMBALAGA
  4. Lavit

    Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  6. LIKUD

    Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  7. Yofav

    Kuna shida gani kwenye mitandao ya simu kwa sasa, Je tupo salama?

    Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana. Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
  8. BigTall

    DOKEZO Responded Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu?

    Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile. Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
  9. W

    Huwa unazingatia vitu gani unapotumia Mitandao ya Kijamii?

    Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator" KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
  10. Muimba SINGELI

    Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  11. R

    Tuko salama kiasi gani kwenye mitandao: Msikilize Maxcence Melo, JamiiAfrica CEO

    Kuna haja ya kuwa macho sana kama unataka ku maintain anonymity/usijulikane.
  12. B

    Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

    Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto nyie
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  14. S

    Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

    Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
  15. Fbn

    Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  16. Inkotanyi 94

    Mitandao ya kuingia kila siku

    Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu. Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita. Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri siku hiyo! Milengo ni siasa(nje na ndan), uchumi, biashara, technolojia/ubunifu na afya.
  17. snipa

    Mitandao ya simu Tanzania na utapeli wanaoufanya kuongeza CPA "Click per Action".

    Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda. Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
  18. DELETED ACCOUNT

    Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
  19. Uwesutanzania

    Je ni sahihi kwa mtuhumiwa kupigwa Picha na kuwekwa katika mitandao?

    Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama. Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku. Kumbukeni huu ni uzalilishaji. Leo hii mimi...
  20. Fredrick Nwaka

    Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
Back
Top Bottom