mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. snipa

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania na utapeli wanaoufanya kuongeza CPA "Click per Action".

    Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda. Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
  3. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mtuhumiwa kupigwa Picha na kuwekwa katika mitandao?

    Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama. Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku. Kumbukeni huu ni uzalilishaji. Leo hii mimi...
  4. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  5. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  6. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  7. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wanao post clip kwenye mitandao ya kijamii hupata vipi kipato?

    Habarini wakuu. Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk. Akili yangu inaniambia hii ni biashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje faida...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini ila Airtel ndio Mtandao wenye kasi zaidi ya Internet kwa sasa kupita mitandao yote

    Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback. Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel. Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
  9. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  12. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mitandao Ya Simu

    Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Usiamini mitandao: Private Jet ile ilikuwa ya mchongo!

    Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana. Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni wabongo, mnachezewa akili. Tafuteni pesa, epuken kushobokea watu msiowajua
  14. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  15. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Matajiri kuji Expose Kwenye Mitandao

    Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni watu wa Low profile zao sasa Vuup naona kwa sasa wameona waji Expose sana Pamoja na Kuwa wanafanya...
  16. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prince Dube ajiondoa katika mitandao ya kijamii

    Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Account gani ya ajabuajabu ya mitandao ya kijamii unaifuatilia?

    Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣 officialstickreviews. https://www.instagram.com/p/DDkCR8JOxwG/?img_index=1&igsh=eXF0ZmcwbmJiN294
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania App za mitandao ya meta zipo chini, Meta Wagombea radhi

    Kampuni ya meta app zao zipo chini siku ya Leo sijui nadhani kila mtu ame experience hiki kitu leo. --- Kampuni Mama ya META inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imekiri uwepo wa hitilafu iliyopolekea idadi kubwa ya Watumiaji wa mitandao hiyo katika sehemu mbalimbali...
Back
Top Bottom