mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instagram

    JamiiForums Tanzania Tanesco muwe na line zenu za simu kwa ajili ya LUKU. Mitandao inatutesa

    Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani. Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza linaingia ukipiga simuzao zinakatwa hakuna majibu. Kwanini nyie Tanesco msiwe na line zenu za simcard...
  2. L

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu

    Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu. Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa! Kwa nini maelezo ya kuwepo kwa shida yasitolewe kupitia menu za apps ili mteja ajipange kivingine badala ya...
  3. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Starlink wakipewa kibali, hii mitandao ya simu itashika adabu

    Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu , Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio angalau naweza ku access,wamenikwamisha pm zangu nyau wale,STAR LINK wapewe kibali muone utamu wa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  6. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Watanzania 70% hawatumii mitandao ya kijamii hasa vijijini. Wapinzani, wanaharakati katoeni elimu kuhusu katiba na mfumo wa vyama

    Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi. Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  8. Good Father

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu imekumbwa na nini hivi karibuni?

    Wakuu habari za leo. Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni. Hali hii zamani haikuwepo serious kiasi hiki ikilinganishwa na sasa. Lakini hali ilivyo sioni wala kusikia...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Australia kuzuia watoto chini ya umri ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii

    Serikali ya Australia imetangaza mpango wa kuanzisha sheria inayozuia watoto chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii Hatua ya kuanzisha sheria hii ni kwa lengo la kupunguza athari zinazotokana na matumizi ya mitandao hiyo. Aidha, serikali imesema sheria hiyo haitahusisha watoto ambao...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  11. Tanzanite255

    JamiiForums Tanzania Tigo SME

    kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
  12. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kimbilio langu kwa sasa ni huduma za M-Pesa na mitandao mingine hizi Bank hapana aisee!

    Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini 🙌🙌— nadaiwa kama Tsh 56,547.68 na hela yangu yote imekula! 😂 Nikaamua kuwaachia kadi yao na deni lao...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kipindi hichi cha maboresho ya mtandao wa Vodacom ni vyema bill tulipie kwa mitandao mingine

    Hakuna kitu kinauma ulipie bill halafu muamala uwe una hang tu. Kibaya zaidi hata sms ya muamala usiipate. Vodacom Tanzania kuanzia jana mpaka leo miamala inasuasua. Mkimaliza maboresho mtujuze ili tuendelee na nyie. Sio Voda tu , mitandao yote itungiwe Sheria kuwa muamala ukikwama ukikamilika...
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu especially tigo hiki mnachofanya mnavuruga watu

    Unapiga namba unaambiwa inatumika Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu anasema simu yake ipo hewani na hakuwa akiongea na yeyote wala wewe hukumpigia Madhara ya hiyo kitu...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

    Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali. Agosti 19 mwaka...
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Meme nyingi kwenye Mitandao ya Kijamii zinaandikwa na watu wasiojitambua kimaisha

    Mhadhara - 45: Asilimia kubwa ya MEME zinazosambaa kwenye MITANDAO YA KIJAMII na kupostiwa na watu kwenye STATUS UPDATES zinaandikwa na watu (vijana) wenye fikra finyu na wasiojitambua. Unapaswa kufahamu kwamba hakuna changamoto yoyote inayotatuliwa kwa kutumia MEME. Kila changamoto...
  17. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani huvujisha siri za wateja wa mitandao ya simu?

    Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi. Je ni kampuni za simu pekee ndio...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu iongeze umakini katika maombi ya ku recover password

    Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha password kwa namna dhaifu na matapeli kutumia mwanya huo kuomba kubadilishiwa password na kuweza...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
Back
Top Bottom