mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
  2. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufungwa kwa mitandao kuelekea uchaguzi mkuu je hii ndio demokrasia tunayoipigania kama nchi?

    Kwa muda mrefu tumeshuhudia kuzorota kwa ufanisi wa network katiak social media ikiwa lengo la kudhibiti utoaji wa uhuru wa maoni katika majukwaa mbalimbali kama Twitter, ClubHouse, na sasa kwenye YouTube hasa pale watu wanapotaka kujadili hali ya siasa nchini Hali hii sio tu inakiuka katiba...
  3. 26 Life

    JamiiForums Tanzania Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

    Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo. Bhasi...
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

    Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli wamepitishwa na CCM tayari au ni speculatins za mitandao

  7. 100 others

    JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polepole heshimu mitandao

    KUTOKA MAKTABA Katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mwaka 2025, wajumbe kutoka pande zote za Tanzania walikutana kwa umoja na mshikamano mkubwa ili kufanya maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa. Mkutano huu ulikuwa na dhamira ya kumuidhinisha mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  11. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali iache collective punishment!

    Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu mitandao wakati polepole anaongea? Maria sarungi na wanaharakati wengine walikuwa wanatumia twitter...
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  14. Liu Yun

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mitandao ya Kijamii

    Nimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri zuri tuu" lakini kuna watu "Hushusha matusi na vitu visivyo eleweka" Hii ni kwanini?
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager)

    Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine. Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JamiiForums ni tofauti na ninaokutana nao mitandao mingine ya kijamii

    Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela. Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde. Maajabu haya haya
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

    Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering). Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi) Naishi: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  18. V

    JamiiForums Tanzania Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inapocheza na Haiba ya Kuvutia ya Haji Manara

    Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia. Muda si muda watazamaji wanagota laki +. Na ukweli hawa hawakunifuata mimi. Wamemfuata Haji...
  20. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
Back
Top Bottom