Je ni sahihi kwa mtuhumiwa kupigwa Picha na kuwekwa katika mitandao?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
1,380
1,686
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa

Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.

Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku.

Kumbukeni huu ni uzalilishaji.

Leo hii mimi niwe mtuhumiwa wa kubaka kuku alafu mkaweka shtaka langu na picha yangu katika mitandao, baada ya upelelezi kukamilika mahakama inakuja na jibu kuwa sikuhusika na tukio hilo maana narudi mtaani sasa mtaani ambako picha zangu zishasambaa mitaani kuwa mimi ni mbaka kuku

JE, HII NI SAWA?
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
 
Upelelezi ukikamilika tunapost tena picha yako na kutolea ufafanuzi kwamba haujakutwa na hatia.
 
Back
Top Bottom