mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

    Wahuni wa CCM wamekataa kuzima mitandao ya kijamii eti wanadai na wao wanapata taarifa za waandamanaji kwenye hii mitandao ila wanapima upepo mpaka baadaye usiku kama hali itakuwa ngumu na watakuwa wameanza basi watazima mtandao ili kusiwe na mawasiliano kabisa. chukua hiyo kijana mwenzangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misime: Wanaotaka kuandamana waishie kuandamana hukohuko kwenye mitandao

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema: “Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha Sheria watachukuliwa hatua, Jeshi la Polisi tupo imara na tupo tayari kuwalinda Watanzania wema kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Tusiamini kila tunaloliona kwenye mitandao ya kijamii, Msihangaike na MALOFA

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sina mashaka kuwa kuelekea uchaguzi mitandao ya kijamii itakuwa haifanyi kazi. Wafundisheni wa Tz namna ya kutumia VPN kwa wingi kwa mfano huu

    Nimeitoa Facebook nikaona ni vyema kushirikiana nanyi na wajuvi wa mambo (seniors) ili mtuelekeze zaidi. Kama hukuwahi kufahamu VPN ni nini na inafanyaje kazi, basi hebu nikufahamishe. Kwa miaka ya karibuni Tanzania kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya VPN. Sasa leo ngoja nikueleze...
  7. Walt white

    JamiiForums Tanzania Wamefungia mitandao?

    Naona mitandao mengine imekuwa mizito hasa Facebook na WhatsApp, na kusearch Google. Au nitafute simu nzuri?
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuanzia wiki ijayo mitandao itaanza kusumbua rasmi

    Kwa yanayoendelea nchini na wananchi wanavyozidi kupata hamasa zaidi ya kuandamana. Nina ona kuna dalili nyingi za mitandao kufungwa . Uzi tayari.
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala ya majukwaa ya kujifunza na kujenga jamii. Katika siku za hivi karibuni kuna binti anayejulikana...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inayofanya kila kitu ni kweli inaogopa wakosoaji wa kwenye mitandao

    Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake. Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Hili la kufungia mitandao ni hatari kwa usalama wa Taifa

    Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo. Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code. Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok. Sasa mnaifungia jamii...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  18. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

    Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa haki za Wazalendo..Maponjoro ndio vinara wa wizi na ukwepaji kodi kwa ushirikiano na watendaji waovu.
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mitandao huwa haisahau, Diamond mwaka 2013 ulikuwa unalalamikia yaleyale ambayo raia wengi wanayalalamikia leo hii

    Masikini akipata matako hulia mbwata!
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mitandao ya mawasilino haswa Halotel na Yass mmelala? Kuna changamoto katika mawasiliano

    Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia. 2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
Back
Top Bottom