mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi ya mitandao ya Kijamii

    MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII. Mada kuu; je ipi matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana wa kitanzania (miaka 10 -45) hivi leo? Maana halisi ya dhana kuu; mitandao ya kijamii ni nini? NI huduma ambapo watu huongea, au hujumuishwa pamoja na watu wengine aidha ndani ya nchi au...
  2. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanawake na mitandao, leo kwake kesho kwa dada yako au mpenzi wako

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na kilimo changu

    "Kilimo ni moja kati ya sekta kwenye uchumi inayobeba sana maendeleo kwenye nchi yetu", ni kauli ambayo husikika ikisemwa na watu wengi hususani viongozi wa serikali. Ila kwangu mimi hapo mwanzo niliipinga hii kauli lakini baadaye nikaja kuelewa maana halisi ya hii kauli. Nakumbuka mara baada...
  4. Jay_255

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mi-fi ya 4gLTE Inasupport mitandao yote

    Ina support mitandao yote ni 4g LTE Bei 55,000 Mpya dukani ni 120,000 nipo Ubungo - Dar es salaam IMESHAUZWAAA
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii na usalama wako

    MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya kijamii kiasi cha kusahau kuwa kuna hali ambayo tunaruhusu taarifa zetu muhimu kuwafikia watu wasio...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Australia: Sheria ya Usalama wa Mitandao kuzibana Apple, Meta na Microsoft

    Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
  7. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa zinazofanya Twitter kuwa tofauti na mitandao mingine ya kijamii

    Takribani mitandao yote ya kijamii ina sheria zinazofanana kwa watumiaji wake ikiwemo kutokuunga mkono kabisa maswala ya uhalifu, kuvunja haki za binadamu, nakadhalika. Lakini mtandao wa Twitter ndio mtandao pekee unaounga mkono maudhui ya Pornography. Mitandao mingine ya kijamii unapochapisha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Wazazi msiwaache watoto wenu walelewe na mitandao na teknolojia, waleeni ninyi wenyewe taifa linaangamia!

    Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya. Nape ambaye aliongozana na Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Kanisani hapo kwa mchungaji kiongozi Dr Kimaro, amesema...
  10. Leonard24

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa bei za vifurushi vya mitandao mbalimbali

    Tazama hapa mchanganuo wa bei za vifurushi kwenye mitandao mbalimbali nchini
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii ni jamvi linalotuunganisha, maudhui ya kikao juu ya jamvi yasitusambaratishe

    Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
  13. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii: Fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana

    Mitandao ya kijamii ikiwemo jamii forums,twitter, linkedin, instagram, facebook n.k vimekuwa nyenzo mhimu katika kutoa habari za ki-eliumu, mazingira, afya, uchumi, kilimo, biashara, jamii, tamaduni, siasa na michezo. hivyo hutoa nafasi ya kufuatilia mafunzo maalumu na kumuwezesha mfuatiliaji...
  14. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

    Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
  15. Stanboy

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  16. Bright2025

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii na Unyanyasaji wa Kijinsia 

    MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA: Kwa majina naitwa MTANDAO WA KIJAMII napatikana hapa hapa ulipo msomaji kwa msaa 24. Mimi nilikuwepo hapa kabla miaka ya 1993.  Kwa umri huu huenda nimekuzidi wewe au umenizidi wewe unayenitumia kwa maslai chanya(faida) au hasi(hasara)..Kwa sifa...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mitandao na e-mail za taasisi za kiserikali, emails hazifiki

    Zile email ni geresha ama? Tukisema tujaribu namba za simu napo labda. Wahusika.............
  18. W

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  19. Don san tan

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  20. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Mko wangapi kwenye familia yenu mnaetumia mitandao ya kijamii?

    Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
Back
Top Bottom