aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,550
- 23,873
Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi.
Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama.
Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni.
Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya.
Haya ni matokeo ya miundombinu mibovu ya kutiririsha maji taka, na mamlaka husika wala hazionyeshi kuchua hatua zozote kutatua hii changamoto.
Au wanasubiri yatokee majanga makubwa kama kipindupindu ndipo wachukue hatua?
Ona hali jinsi ilivyo, tena hapa ni sokoni.