1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO
All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
Habarini wanajukwa?
Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Najua mna akili za kuvukia barabara tu.
Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini?
Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia nzima ni kulinda raia na wananchi.
Najua wengi wenu mnanogewa na hivyo vimishahara mnavyolipwa na...
Kama kicha kilivyo kichwa cha habari tunaomba sana sana waongezewe mishahara wale polisi waliokuwa front line siku ile tarehe 29 Oktoba, Tena na wapande cheo , ushauri wangu tuitishe haramabee ya wafanyabiasha na sisi wananchi ili kila pilisi aliyepiga risasi sahihi yaani za kichwa apate angalau...
Watanganyika tumeamua.
Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao.
Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
Kwa kasi ya mismanagement ya uchumi na ufisadi ambao tumekuwa tukiusema hapa kila siku jumlisha na fedha zinazoenda kwenye kampeni uchwara, Hazina Kuu imekauka.
Hadi leo hata hao mapolisi hawajalipwa. Bank overdraft ya BOT haijatosheleza. Baada ya uchaguzi Tanzania kuwa Zimbambwe ya Kisasa.
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo.
Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo...
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students. Nitashukuru kwa majibu yenu Mazuri.
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini.
Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni, unatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara, kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kulipwa.
Waziri wa Nchi...
Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
Anonymous
Thread
binafsi
mapato
mishahara
mwaka
serikali
shule
shule binafsi
waajiriwa
wafanyakazi
wake
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake.
Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa...
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba.
Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka.
Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!!
Leo kuna siri gani huko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.