mishahara

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

    Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
  2. Same_Return_1878

    JamiiForums Tanzania Madaraja ya mishahara

    Wakuu naomba kuuliza swali. Rafiki yangu amebahatika kupata ajira za utumishi katika wizara ya kilimo baada ya kuhangaika sana na usaili kila mwaka. Ameajiriwa katika ngazi ya bachelor's degree, na daraja la mshahara aliloanza nalo ni TGS D.1, yaani atakuwa anapokea 765,000 TZS kama gross...
  3. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Gwajima anasema wakuu wa nyombo vya ulinzi kulindwa na kulipa mishahara mizuri na wafanyakazi wao?

    1. Kufanya wafanye kazi kwa weredi na ustadi wa Hali ya juu sana 2. Kutoka kuendesha na kutumika na wanasiasi kwenye mambo ya siasi kisa njaa na familia zao. 3. Kuwafanya wafanye kazi zao bila presha yoyote kutoka kwa mtu yoyote. 4. Kufanya wawe na confidence na wasimuogope mtu yoyote na kuhofua...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mishahara mpya ya July, 2025 na makato yake bado haujatoka kama miaka ya nyuma?

    Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja? Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000 kwa wale ambao mishahara yao sio kima cha chini. Mtalia tena watumishi kama mlivyolia 2022.
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Wakuu mko poa,? Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee, Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo 1.TCC-2.53m 2.Twiga cement-2.76m 3.pwc-2.0m 4.Barrick-3.2m 5.Mbeya cement-2.5m 6.Delloite-2.0 7.Geita...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    ….
  9. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

    Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo? Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na anaweza pia Kuinunua Yanga SC yote, Wanachama na Mashabiki na akawalipa Mishahara akina Hersi Said na Gharib Said Mohamed Kudadadeki.....!!

    Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi. Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
  11. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kama wana uchungu na Wananchi kwanini Wabunge wasipunguze mishahara yao

    Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi. Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya? Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Mei kuingia kwa mafungu/makundi

    duh
  13. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ngazi Za Mishahara.

    Wakuu, Pokeeni salaamu kwa Jina la Jamhuri Ya Muungano. Naomba kujuzwa mwenye uelewa wa Salary Scale Ya PTSS 3.1 ni pesa ngapi za Nyerere. Karibuni
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

    Wakuu Huu ni mwezi wa pili since march 2025 toka niajiriwe lakini watu ni masikini sio poa. Hii kampuni ina vituko sana. Wana revenue kubwa ila mpaka leo mshahara hatujalipwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wasafi hawajalipwa mishahara miezi kadhaa ila bosi wao anaonekana anatunza mamilioni kwenye harusi Nigeria

    Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna Waajiri muwe...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa "Kima Cha Chini Cha Mishahara". Ni cheo cha hovyo kabisa kuwahi kukisikia

    Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara". Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Huwa mnaishi vipi Kwa kutegemea mishahara?

    Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu mishahara ya TPSC INARANGE VIPI

    Habari wakuu mwenye uzoefu wa mishahara na benefit nyingine za TPSC zipoje atleast hint kidogo
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwalipa Wanajeshi Mishahara mapema, ni mpango mkakati, Sitoshangaa JWTZ ikatoa tamko la Kufanya Usafi Barabara za kuzunguka Mahakama 24/4?

    Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!. CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila. Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
Back
Top Bottom