sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,851
- 11,438
Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu.
Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu .
Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila hatujapata muafaka mwenye madini mazuri apo atusaidie ilikuwa tarehe 26.
Lakini Hadi Leo hakuna kitu akiulizwa BLA BLA KIBAO