NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,535
- 17,477
Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie!
Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu!
Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA MENGI basi Taifa letu halitoendelea tutashuhudia sarakasi tu KILA awamu!
Leo jeshi la polisi limeamua kuua panyaroad kwa risasi za moto!haya ni matokeo ya kufeli KWA siasa na sera ZETU!yaani Taasisi ya Bunge,Elimu na urais Hauna maana KWA Taifa letu!!wasomi KWA wasio wasomi wote ni vichaa wasiojua kujiongoza hawana maono wala mipango ya KIMAENDELEO zaidi ya kula na kupasuka!!
Ingenichukua mwezi mmoja tu kuondoa posho zote na kushusha mishahara yote na kuwalipa watafiti wenye tija pekee na kuzielekeza kwenye MAENDELEO!!
Nashangaa Taifa langu Tanzania limeamua watu wachache Sana ambao hata jumla hawafiki hata 1000 (WABUNGE,mawaziri na Rais) watafune fedha au Rasilimali nyingi KWA miaka mitano ambazo zingetosheleza kuhudumia mamilioni ya watanzania kwenye sekta za tiba,elimu,VIWANDA na kuzalisha ajira NYINGI!!
Wakati vijana wetu waliokosa ajira na KAZI ya kufanya na kuwa panyaroad wakiuuawa KWA Risasi wanasiasa wapo kwenye ma v8 na viwanja VYA starehe wakitumbua fedha za walipa kodi ambao wengi wao ni masikini na wachuuzi wadogo HUKU mitaani!!
Ina Maana nyie DOLA ndio mnalinda huu mfumo MBOVU!!?yaani mnafurahia kuasisiwa KWA mfumo huu ambao unawaumiza wananchi KWA raha ya WACHACHAE!!?
LABDA WAOMBE NISIPENYE NIKAWA!!
TRUST ME NITAIFANYA KAZI YA SIASA KUWA YA KAWAIDA SANA ZAIDI YA MFUGA KUKU WA KIENYEJI ALIEPO HUKOOO KIJIJINI!!
Nasisitiza siasa inapaswa kuwa kazi ya kawaida Sana kuliko uwalimu, uhasibu,udaktari,uhandisi,ukulima na n.k KWA kuwa KAZI hizo Zina maana na tija Sana kuliko maneno mengi na kulala bungeni na kula maposho kibao ya KILA Safari!!
I rest my case!
Hope mnanifahamu,hakuna pa kujifichia hapa JUKWAANI!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"